Jaman hiki kiitwacho wadudu wanaonyevuanyevua a.k.a ny-ge ni hatari na yanaweza kukudhalilisha yamenikuta mwenzenu.
mi naishi sinza nyumba ya tatu baada ya hotel ya vatcan city nimepanga
kwa mama mmoja maaruf kama mama k------- kiukwel kati ya wapangaji 6 wa
bi mkubwa huyu mi ndo nilikuwa mfano wa kuigwa kwa tabia ya kujiheshimu
kwa kutoingiza wanawake ovyovyo kama jamaa wawili wa vyumba vya uwani na
madada wa chumba cha mbele wanaosifika kwa kuingiza wanaume waziwazi.
basi jioni ya Jana nlikuwa ktk hali ya mwili kutamani tendo kupita kiasi
na kwa bahati nzuri hapa mtaani hii nyumba nnayokaa ndiyo maarufu kwa
majirani kuja kuchota maji,saaasa si ndo nkamuona msichana mmoja huwa
napewa sifa zake kwamba ana roho nzuri sana pia nlishamshuhudia Mara
kadhaa akitoka ktk vyumba tofauti vya jamaa wa vyumba vya uani hivyo
nami nkaadhimia kuua tembo kwa ubua nkamwomba awe mgeni wangu akaniambia
nimuandalie castle light 3 ataingia saa NNE nne hivii.
basi ilipofika saa nne bint akaja tukaingia zetu ndani,akapiga zake bia
mi kwa kawaida situmii kilevi.basi mida ya kama saa 6 usiku tukaanza
mambo yetu sasa katikati ya shughuli mwenzangu akaanza kunifinya nikajua
ndo mizuka yake tu,Mara akaanza kutoa sauti ya kuinguruma mi nkajua ndo
utamu umekolea nkawa naendelea tu,akaanza kunipiga makofi ya mgongo la
kwanza nkaona kawaida la Pili nkasema isiwe tabu nkashuka,kumbe binti
ana mashetani bwana akanisogelea na kuanza kunikamata kichwa na
kunigongeza ukutani mi nlikuwa nagugumia kimyakimya nikihofia kuwaamsha
watu watajua nimeingiza mwanamke.
akaendelea kunigongeza nikaona ataniua nikapiga kelele wapangaji wote na
familia ya mwenye nyumba wakaamka.wakafanikiwa kuvunja mlango na
kutukuta tukiwa uchiii huku mi nimekabwa na msichana akiongea lugha
isiyoeleweka.
heshima yangu niliyoijenga imeharibiwa kwa siku moja tu kisa ny-g- mtaa mzima nimekuwa tangazo.
wanaume wenzangu ogopeni kuvamiavamia wanawake msiowajua vizuri mtaaibika
By Mbagokizega

No comments:
Post a Comment