Najua
sio raisi kukubali haya, lakini kuna aina ya wanawake ambao ni waongo
sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao
ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake, lakini leo tutaangalia
vipengele ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana.
Umri
Wanawake
wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na wanawake wenye umri mdogo,
wanawake walio na miaka kati ya 24-29 mara nyingi huwa wanashusha miaka 2
hadi 3 ili waonekane wadogo mbele ya wanaume.
Kutokuwa Na Mahusiano
Baadhi
wa wanawake, husema wapo kwenye mahusiano hata kama hawapo,hii inatokea
hasa kama mwanamke hamtaki mwanaume aliemtokea wakati huo na kisingizio
kikubwa ni yeye kuwa katika mahusiano na huu ni uongo mmoja maarufu
sana na Baadhi ya wanawake pia huwa wanaficha kama wapo kwenye
mahusiano, hasa pale wanapotaka kuanzisha mahusiano mapya, huku
wakiendelea kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja.
Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanaume
Mwanamke
hawezi kukwambia ukweli kuhusu hili hata kama alikutana na mtu kimwili
jana, atakwambia miezi 4-8 iliyopita, hii ni kwasababu anaona ataonekana
muhuni sana au Malaya, na wengi wao huwa wanataka kuonekana wasafi au
tuite watakatifu. Kitu ambacho sio
Ameshakuwa na wapenzi wangapi
Uongo
mwingine ambao ni maarufu ni kuhusiana na mwanaume wangapi ametoka nao,
hapa sahau sana kwani huwezi kupata jibu sahii, sababu wanawake wengi
huwa wanadanganya mahusiano yao ya nyuma, anaweza kukwambia wawili au
watatu kitu ambacho inaweza kuwa zaidi ya hao. Japokuwa uongo huu hata
wanaume pia wanadanganya
Kudanganya kuhusu vitu alivyozoea
Wapo
wanawake wanadanganya kuhusu kutoka usiku, labda sio watu wa
tungi/Gambe, sio watundu kitandani na kujidai ndo kwanza kuna mambo
wanayaanza siku hiyo. Kujidai hawawezi hiki mara kile mara akwambie mie
ndo mara yangu ya kwanza ilimladi vituko.
No comments:
Post a Comment