Kupenda kunaumiza kama hujawahi kupenda na usitamani kupenda kwa kweli
..na mpenzi wangu kwa kweli mtoto mashalaaa kaumbika na kajaliwa
kiukweli yeye ananipenda sana kuna siku alinitamkia chochote nachotaka
atanipa ili mradi nisimpoteze ..
Sana naumia maana nilipata habari na mtu wa karibu kua mpenzi wangu
anaruka ukuta nilipuuzia nikaona hayo ya uongo sasa nimekuja kusikia
tena juzi kwa baadhi ya watu kua huyu ni tabia yake kurishwa ukuta toka
yupo chuo sasa nikipima na maneno yake kua chochote nachotaka atanipa
picha inanijia maana kila tuwapo faragha ananiwekea mitego ya ajabu
ajabu tuu ..
Sasa uyu nilikua na malengo nae aje awe mke sasa naingiwa na hofu unaeza
oa mke anaefanya huo uchafu? sasa heshima si itashuka jamani?
nifanyeje?
Tuesday, January 15, 2019
Home
/
Unlabelled
/
Naumia Sana Moyo Kwa Nayosikia Kuhusu Mchezo wa Kuruka Ukuta mpenzi Wangu Anaofanya
Naumia Sana Moyo Kwa Nayosikia Kuhusu Mchezo wa Kuruka Ukuta mpenzi Wangu Anaofanya
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment