Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.
Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na
tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur
kimapato kuliko mwanamke.
Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha.
Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi WA kike mambo haya yafuatayo:-
1. Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue
ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume
uliemwezesha.
2 .Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.
3.Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.
4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.
Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya
laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpz wake 10000 ya
nauli.
Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye ukamwacha na HELA ya kutosha.
5.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.
NB.
APA ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizur.
Tusiwe wataalamu wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 1000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguzia makali ya maisha.
Yeyote mwenye chochote anaweza kuongezea apo.
Saturday, June 9, 2018
Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment