Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe
pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima
hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya
kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa
mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza
kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la
kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na kuongeza kujiamini na
kujihusudu.
Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu
kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi!
Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada.
Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana
kujifunza jinsi ya kuzuia kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa
tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya
kuanza kufanya msuguano.
Mshirikishe mwenzako kikamilifu: Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo
wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kukojoa
haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza
akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka
kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda
kidogo.
Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa mfano upo ofisini na unajua jioni
unakwenda kugegeda basi jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni
kitu cha kawaida. Hii ni kwasababu kuongeza concentration ya kuwaza
ngono inaongeza stimulation kiasi kwamba ukiomgusa mpenzi wako tayari
umekwishaachia hata kabla ya kuingiza
Pia angalia angalia style zenye kuchochea kukojoa haraka kwa mfano mbuzi
kagoma.... etc hii ni ngumu kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza
maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu very tighten kiasi
kwamba ukigusa tu tayari ..so ni vizuri style kama hizi zikafuata baada
ya bao la kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.
Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo mara kwa mara... hii ina maana
kuwa unapokojoa mkojo unaachia then unakatiza unaendelea tena alafu
unakatiza tena . Fanya mara tatu kila unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu
kwa ajili ya kuongeza strength ya misuli ya **** na kupunguza
relaxation yake ... njia hii imewasaidia wengi na wamepona kabisa
No comments:
Post a Comment