Ukitaka
kujisikia raha kwenye mashamsham ya godoro, lazima ujue mengi. Mapenzi
ni matamu sana iwapo unakutana na mwenzio mwenye kujua mapenzi, nasema
hivyo kwasababu kumekuwa na malalamiko ya wanawake na wanaume
wakilalamika kutoyafurahia mapenzi ya wapenzi wao. Kwanini usiyafurahie
mapenzi ya mwandani wako,hebu jiulize ana matatizo
gani?.Hakupendi ila analazimisha?.Maana kuna mwanaume mwingine kama
hakupendi bwana kukuridhisha huwa tabu sana, labda avute hisia kutoka
kwa yule ampendae lakini hivi hivi utaambulia patupu.Mwingine ni mvivu
au hajui namna ya kumpenda mtu?. Looh, usishangae ukasikia mwanamke
akisema jamaa yake akiingia uwanjani humaliza mpira kabla ya dakika
tisini, ni mcheza kiungo hatari ambaye hana pumzi, dakika mbili hoi
amemaliza mechi ya kwanza.Ukimbembeleza arudi jimbani anaanza kutoa
visingizio lukuki, anaweza kutoa sababu kwamba anawahi sehemu muhimu, au
atapiga simu akijaribu kutengeneza sababu ya kukutoka.
Kama
wewe ni mwanamke ama mwanaume, huyo uliyosema unakutana nae faragha
hakikisha unampenda sana, sio unampenda ilimradi amekuambia anakupenda,
unajua kuulazimisha moyo useme uwongo ni ulimbukeni wa mapenzi kwani
hutamfanya mwenzio akayafurahia Vitumbua vya nyama au Soseji.
Sasa
basi, nataka nikufahamishe jinsi ya kutaka kuyafurahia mapenzi, ukiwa
na mwenzako chumbani kabla ya kuingia dimbani, hakikisha kwamba
mmejindaa kwa mechi, na kila mtu awe na hamu na nia ya kufunga mabao ya
nguvu. Kabla ya kuingia uwanjani, wewe kama ni mwanamke unaweza kuja na
Choculate nzuri ya baridi. Unaweza kununua ya maziwa, ya machungwa, ya
mananasi,nk.
Kabla
ya kunyonyana ndimi, unanawa mikono yako inakuwa safi kabisa, ukisha
hakikisha mikono misafi, unapaswa kummegea mwenzio kipande kidogo cha
Choculate ambacho utamlisha huku ukitabasamu kwa raha zako.Weee! mwanamke ameumbwa na tabasamu dear. Sasa usimbanie mwenzio kumzawadia tabasamu laini kama ute wa yai na jepesi kama pamba.
Wakati unamlisha mweleze maneno mazuri ya mapenzi, unaweza kutumia
lungha ambayo ataielewa vizuri, kama anajua. Akiwa anajua kizungu,
Mwambie huku ukimwagia tabasamu," I beg you to love me the way you loved no one else"
Kwa kiswahili, unaweza ukatumia maneno haya, "Nakupenda, naomba unipende ambavyo hujawahi kupenda daima maishani mwako"
Ukimaliza
nadhani hata yeye atasema, "Nakupenda, na nakuahidi
sitokusaliti"Ukimaliza kumlisha mpatie ile chuculate ili nae akumegee
kipande kidogo na akulishe kwa kutumia njia uliyotumia wewe.
Ukishamaliza, kupeana choculate, unaweza kuasha kuila ile choculate kwa
kuimumunya taratibu kutumia ndimi zetu.
Vipi, unaonaje hapo? Sasa tulia huu ni mwanzo, nitakupa vitu vikali mshikaji wangu!!!!
No comments:
Post a Comment