Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Monday, July 31, 2017

KWANINI WANAUME WANALALA BAADA YA KUFANYA NGONO???


Wanawake wengi hushangaa sababu za waume zao kulala punde baada ya kufanya mapenzi. Wanawake hufikiria kuwa waume zao ni wabinafsi kwa kufanya hivyo, au hawajaridhika. 


 Lakini kulingana na wanasayansi, huwa ni kawaida kwa mwanamume kufanya hivyo, hasa kwa sababu ya nguvu anazotumia kushiriki mapenzi.

 Sababu za wanaume kulala punde baada ya kufanya mapenzi Pia, kushiriki mapenzi huwa ni zoezi la kupumzisha na wanaume uhisi kupumzika baada ya kushiriki ngono. Vile vile, homoni ambazo hutolewa na mwili baada ya mwanamume kufikia kilele humfanya kulala. Misuli ya wanaume huisha nguvu baada ya kitendo cha kujamiiana, hivyo, mwanamume uhisi kuchoka sana baada ya kitendo hicho. Wakati wa kushiriki ngono, wanaume huwa hawapumui kawaida, hivyo, baada ya kushiriki ngono, mwili huwa unahitaji kupata hewa safi. Mumeo au mpenzio akilala, ni ishara kwamba amefikia kilele, hivyo, haufai kupatwa na hofu! 

 Sababu za wanaume kulala punde baada ya kufanya mapenzi Ni nyakati chache sana ambapo wanaume hulala baada ya kufanya mapenzi kwa sababu ni wagonjwa. Lakini ukiona amesalia katika hali ya uchovu kwa muda mrefu, mpeleke hospitali. 

No comments:

Post a Comment