Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Saturday, August 26, 2017

Lainisha Uso wako kwa kutumia nyanya na asali...kwani vipodozi vya asili ni bora zaidi.

Watu wengi wanadhani kutumia vipodozi vya asili ni urembo wenye mchakato mrefu na mgumu lakini kama unaipenda ngozi yako naamini hautaona ugumu wa kuitunza kwa vipodozi vya asili.Jinsi ya kulainisha uso kwa nyanya na asali.Chukua nyanya moja kubwa iliyoiva kisha imenye na kuisaga na uji wake paka usoni ukimaliza chukua asali mbichi kisha changanya usoni na nyanya baada ya hapo acha kwa robo saa hadi ikauke kisha nenda kaoge.Kausha uso vizuri na taulo safi na rudia hivyo mara mbili kwa wiki na utapata matokeo mazuri kwa ngozi ya uso ,na njia hii inawafaa zaidi wenye chunusi ,kwani huwasaidia katika matatizo kama hayo.


No comments:

Post a Comment