Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Sunday, August 27, 2017

UKIFANYA HAYA MAMBO 25 KWAKE JUA UMEMMALIZA

man-and-woman-walking-down-path Mambo 25 Wanaume Wa Kweli Bado Wanayafanya
Kwa wale wanaosema  wanaume wa kweli hawapo au matarajio yangu ni ya juu na hayapo kwenye kizazi hiki.  bado unatakiwa kuwa na matumaini kwamba  utakutana na mapenzi ya kweli.
Kwa sababu nakuambia hivi , usifurahishwe na meseji za haraka .Wala kwenye mitandao kutaka mchezo nao.
Chagua kitu kimoja tu ambacho ni kutumia nguvu kidogo katika kuwa mkweli katika mambo yako na kujithamini , kujitambua, kujiheshimu na kujijali.
Mambo wayafanyayo bado
1.Kukufungulia mlango wa gari au unapotaka kuingia nyumbani na kutoka.
2.Kukuvutia kiti ili ukae
3.Kupewa nafasi ya kwanza kuagiza kitu
4.Kuvaa vizuri
Jinsi unavyovaa inaonyesha  heshima yako pamoja na watu wanaokuona
5.Hawali kila kitu kwenye sahani
6.Sio walevi
Kama unakunywa ili kuwa na furaha  na mtu fulani, huo sio msingi wa mahusiano.
7.Hawatazami simu zao
Hatakuwa na muda na simu yake wakati mkiwa na mazungumzo . kama atachukua simu lazima atakuomba msamaha na kukueleza kwa nini amepokea simu hio.
8.Hupenda kutazama machoni
9.Ni wasikilizaji wazuri na hukumbuka kila kitu unachokisema
10.Huongea kitu kilichopo mezani sio  kingine
11.Unapotaka kuondoka anasimama kwa kukuheshimu
12.Atakupeleka mahali unapokwenda
1 Mambo 25 Wanaume Wa Kweli Bado Wanayafanya
13.Mtashirikiana mwamvuli wakati wa mvua
14.Unapokuwa na baridi atakufunika na jaketi lake
15.Atalipia kila kitu
16.Atakufuata mahali ulipo na kukurudisha alikokutoa
17.Atapenda kukutana na wazazi wako
18.Atapenda kutoka na wewe.
19.Hutasubiri wala kuwaza kwa nini hajakupigia, kwa sababu atafanya hivo kila mara.
20.Ana mipango mikubwa ya  sasa na baadae
21.Atakutumia Zawadi.
22.Atapenda kucheza na wewe .
23.Kila akiamka jambo la kwanza atakutumia ujumbe
24.Atakuambia kuwa  wewe ni mzuri kutoka ndani ya moyo mwake
25.Atakupeleka kwao kukutambulisha kwenye familia yake na marafiki zake.
kama amekuchagua atapenda kila mtu afahamu kuwa upo naye.

No comments:

Post a Comment