Siku izi kumeibuka mtindo wa kuvaa mavazi yanayoonyesha Nusu ya Mwili wa mwanamke... si hivyo tu wanawake na wasichana wengi wamekuwa wakitupia picha zao mtandaoni wakia na mavazi hayo kitendo ambacho ni kibaya zaidi. Sasa kama mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!
Thursday, September 7, 2017
KAMA UTAAMRUHUSU MKE WAKO AVAE MAVAZI HAYA, UTAKUWA UMECHANGANYIKIWA
About Uknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment