Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Friday, February 9, 2018

Sauti siku zote ina maana kubwa sana katika mtiririko wa wewe kujua mwenzako ana maanisha nini.Sauti vilevile inaweza kukupa picha ya mzungumzaji jinsi alivyo kutegemeana na ongea yake.Sauti huwezesha lugha yako unayoiwasilisha kueleweka vizuri kwa msikilizaji endapo utaitumia ipasavyo. Je wajua sauti ya mtu kwa harakaharaka inamtambulishaje kwa msikilizaji? • Mpole • Mkali • Hekima na busara au • Hasira Linapokuja suala la mahusiano,ni vizuri uzingatie matumizi ya sauti kutegemeana na muda na hali Fulani ya maongezi. Pale mnapokoseana, ni vizuri ukatumia sauti yako kumshusha mwingine ili muweze kufikia muafaka.Ukiendeleza sauti ya ukali hatakama haumaanishi kubishana, si rahisi kufikia muafaka sanasana mtaishilia kuchukizana zaidi. Sauti hutumika katika kubembeleza ,yale mahadhi yakupanda na kushuka kwa sauti yako humjengea mtu hisia na ladha Fulani tofauti na unapokua katika maongezi ya kawaida au ya wewe na rafiki yako. Unapokua na mpenzio hakikisha unatumia sauti yako ipasavyo katika kunakshi maongezi yenu na kuyafanya yawape furaha nakuwa na hamasa zaidi ya muendelezo wa mazungumzo au shughuli nyingine bila kuchoka. Siimaanishi uige sauti ya Fulani,hapana.Bali kuwa mbunifu wa utumiaji wa sauti yako. Kuwa miongoni ya wale ambao wanapendwa kusikilizwa na wapenzi wao,sio kwa ajili ya mapenzi ya dhati tu ,bali kwa jinsi wanavyoteka nafsi ya mwenziwe kwa matumizi mazuri ya sauti yanayoipamba lugha na maongezi kwa ujumla. Nadhani ulishawahi sikia mtu anasifiwa kwa jinsi anavyoongea au umewahi kumsikia wewe binafsi na akakufanya uvutiwe na ile hali.Jua unavyopangilia sauti yako ipasavyo kutokana na mazingira na aina ya mazungumzo unapokua na mpenzi wako; unamvutia (draw attention) na ni rahisi kwa yeye kukusikiliza and act accordingly….Una maoni yako juu ya sauti?…tupia hapa

Habari ndugu mdau wa blog hii,natumaini upo poa na unapendezewa na post zetu,leo tugusie madhara ya kuruka ukuta yaani ngono ya kinyume na maumbile.

Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNr1RbEcRzYcxQHSLl74W0DG-hCr6V4pyDM3hiEfNP7eBfNAkC8Xq1aWmYn2UOE_Z_R8S2KMd-RwAo4qRijH5nOdBAnWZ9LAZYLrI18MVVauIE0-QZwx4XYZBKvSfMDbk0FjNRJaG1Jww/s1600/MBUZI.jpgKufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo 

Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.

Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “natural” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

-Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).

-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.


*** binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

No comments:

Post a Comment