Hakuna
binadamu asiyefahamu nini maana ya mapenzi na kama wapo basi ni
wachache sana na wanaweza kuwa hawafahamu kwa maneno lakini kivitendo
wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe
kushiriki kwenye mapenzi hayo.
Na
hakuna binadamu yeyote asiyependa kupenda au kupendwa, wote tunapenda
kupenda na pia tunapenda kupendwa in . Na siku zote ukipenda na
usipopendwa pale unapopenda huwa inakuwa ni huzuni sana na wengine
hufikia hatua mbaya sana za kufikiria mengine mengi tu ya hatari pale
mapenzi yanapokuwa machungu kwao.
Hii
ndio sababu wengi wetu huwa tunakaa pale tunapoona kweli kuna mapenzi
na si kukaa pale ambapo unaona unadanganywa au kuzungushwa kila siku.
Lakini kuna wakati tunaweza kujikuta hata pale tunapopenda na kupendwa
pia panaharibika baada ya muda na kunakuwa na ugomvi na kukosa maelewano
baina yenu na wakati mwingine usifahamu kwa nini hamuelewani au
ukaelewa lakini ukakosa njia za kutatua.
Zifuatazo
ni baadhi tu ya njia mbalimbali za kufanya ukae na mpenzi wako kwa muda
mrefu kwenye mahusiano na mkafurahia mapenzi yenu popote pale
mtakapokuwa na mtakapoishi.
1. Kuwa na muonekano chanya kwa mpenzi wako.
Ukiwa
ni mtu wa kuangalia mabaya/kasoro sana kwa mpenzi wako kuliko mazuri
yake hautakuja kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu hata siku moja,
utaendelea kubadilisha Wmwanaume / Wanawake kila siku na mwisho wa siku
utajiona huna bahati kwenye mapenzi na wakati Unayeyaharibu mapenzi yako
ni wewe Mwenyewe...kakuna asiye na kasoro (Ukiwemo Wewe Mwenyewe).
Kwa
hiyo muonyeshe mpenzi wako mapenzi bora na umrekebishe pale anapokosea
Bila Kuwa Na Lawama Mara Kwa Mara, Kuna Makosa Mengine Ni Hakuna
binadamu asiyefahamu nini maana ya mapenzi na kama wapo basi ni wachache
sana na wanaweza kuwa hawafahamu kwa maneno lakini kivitendo wanakuwa
wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe kushiriki
kwenye mapenzi hayo.
Na
hakuna binadamu yeyote asiyependa kupenda au kupendwa, wote tunapenda
kupenda na pia tunapenda kupendwa in return. Na siku zote ukipenda na
usipopendwa pale unapopenda huwa inakuwa ni huzuni sana na wengine
hufikia hatua mbaya sana za kufikiria mengine mengi tu ya hatari pale
mapenzi yanapokuwa machungu kwao.
Hii
ndio sababu wengi wetu huwa tunakaa pale tunapoona kweli kuna mapenzi
na si kukaa pale ambapo unaona unadanganywa au kuzungushwa kila siku.
Lakini kuna wakati tunaweza kujikuta hata pale tunapopenda na kupendwa
pia panaharibika baada ya muda na kunakuwa na ugomvi na kukosa maelewano
baina yenu na wakati mwingine usifahamu kwa nini hamuelewani au
ukaelewa lakini ukakosa njia za kutatua.
Zifuatazo
ni baadhi tu ya njia mbalimbali za kufanya ukae na mpenzi wako kwa muda
mrefu kwenye mahusiano na mkafurahia mapenzi yenu popote pale
mtakapokuwa na mtakapoishi.
1. Samehe na kusahau.
Unapomsamehe
mpenzi wako kwa kosa lolote alilokosa basi hakikisha umemsamehe
kiukweli na ujitahidi kusahau kosa alilotenda itasaidia uwe na amani ya
moyo zaidi kuliko kumsamehe kwa usoni tu lakini moyoni ukawa na Donge
bado, hii hupelekea kupunguza mapenzi kwa kiasi Fulani kwake na
kujikosesha furaha ya mapenzi.Anapokosea siku nyingine usimkumbushe kosa
lake la nyuma kwa sababu itamfanya ajione mwenye huzuni na ajione kuwa
hakusamehewa.
2. Mpe nafasi na uhuru mpenzi wako.
Mnapokuwa
kwenye mahusiano jitahidini kwa hali na mali kupeana nafasi/uhuru
kwenye mambo mengi hasa yale ya kitaaluma zaidi na kimaisha.anapokwambia
yupo kwenye kikao cha kikazi jaribu kumuelewa na umpe support ya
kutosha kwenye kazi zake au biashara zake au hata masomo yake.
usipende
sana kulalamika pale anapochelewa kurudi kazini au kutoka kwenye
biashara zake bali mpokee kwa upole na baada ya kupumzika ndipo muulize
kwa upole na kimahaba zaidi kwanini siku hizi anachelewa sana kurudi au
kwenye biashara zake au shuleni tofauti na zamani.
Hii
itajenga zaidi kuliko kubomoa kwa kulalamika na kupayuka mbele yake na
huku yeye akiwa hata hajapumzika na itamfanya siku nyingine aione nyumba
chungu kitu ambacho si kizuri kwenu wote wawili.
3. Mfanye mwenza wako ajivunie kuwa nawe kila wakati.
Hakikisha
katika mapenzi yenu kila siku unamfanya mpenzi wako ajivunie kuwa nawe
na hakikisha humfanyi ajute kwa kukuchagua wewe miongoni mwa wote
aliowaona. Usijidanganye hata siku moja kuwa kwa kumpata tu na kwa yeye
kukupenda basi hajaona mwingine wa kuweza kuwa naye.
Wapo
wengi sana anaoweza kuwa nao lakini amekuchagua wewe katika hao wote,
kwa hiyo usimfanye aanze kuwafikiria wale wengine wanaomfuatilia kila
siku na kumsumbua.Ukianza kumwacha aanze kuwafikiria wengine aidha kwa
wewe kuwa unamkosesha amani ya mapenzi kila mara au kwa mengine mabaya
ndani ya mapenzi basi ipo siku utaishia pabaya.
4. Msadie kwa khali na mali kila inapowezekana.
Kwenye
mahusiano huwa kuna kupanda na kushuka miongoni mwa wapenzi na hasa
kiuchumi na hata kisaikolojia. Hakuna kitu kizuri kwenye mapenzi kama
mtu kupata tatizo na akasaidiwa na mpenzi wake katika hali ambayo
hakuitegemea, namaanisha mpenzi wako akipata tatizo lolote hakikisha
wewe ndo unakuwa wa kwanza kulifahamu na kulifanyia kazi.
Sio
matatizo yote yanamalizwa kwa pesa so hata ushauri na kumpa mawazo
chanya inasaidia sana na kumfanya awe na furaha kuwa nawe.Kama unampenda
usione tabu kumsaidia kwa kuogopa kuonekana eti unahonga, huyo ni
mpenzi wako kwa hiyo jiamini na umpe kile anachostahili kusaidiwa na
mpenzi wake.
Yapo
mambo mengi sana ambayo kama mkiyafanya kwenye mapenzi basi uhusiano
wenu utakuwa wa kudumu na wenye furaha sana ingawa hapa nimezungumzia
kwa uchache sana lakini nina imani itasaidia sana kwa wote walio kwenye
mahusiano.
Mapenzi
hayana ndumba au limbwata hata siku moja, unapoona wapenzi wengi wana
furaha kwenye mapenzi yao ni kwa sababu wanavumiliana kwa mengi na
kusameheana kwa mengi.
Sana
Na Unaweza Kuyarekebisha Kwa Kukaa Chini Na Mpenzi Wako Mkayamaliza Kwa
Dakika 5 Tu Lakini Wengine Huwa Issue Kubwa Kwao Na Kusababisha Mwisho
Mbaya. Kanuni sita (6) za kudumu katika mahusiano ya kimapenzi.
Saturday, April 7, 2018
Kanuni Nne Za kujenga Mahusiano bora ya kimapenzi
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment