Japo inasemwa kuwa mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu
ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha mahusiano baina ya
wapenzi.
Mahusiano ya mapenzi yenye kudumu ni sharti yapandwe katika udongo wenye
rutuba kama ulivyo mmea,yatahitaji maji ya kumwagilia na mbolea ya
kukuzia. Na zaidi ya yote yanahitaji muda wa kukua kabla matunda
kuonekana.
Uaminifu
Kumwamini mwenza wako ni jambo la msingi sana katika kudumisha
mahusiano. Usimshuku mpenzi wako kuwa si muaminifu bila ushahidi wowote.
Kushukiwa kukosa uaminifu pasipo ukweli inasononesha sana na kumkosesha raha mpenzi wako.
Imesemwa na wanafalsafa wa mawazo ya binadamu kuwa “Unachofikiri na
kuamini kinatokea” hivyo unashauriwa kutofikiri vibaya juu ya mpenzi
wako kwani haileti afya katika mahusiano.
Hali kadhalika na wewe uwe mwaminifu na mwenye kusema kweli mara zote. Ongeeni juu ya mipango na mawazo yenu bila kufichana.
Watambulishe kwa mpenzi wako ndugu ,jamaa na marafiki wakaribu ili kumpa mwenza wako amani.
Weka muda kwajili ya Mwenza wako.
Mahusiano mazuri kati ya wapenzi yanahitaji muda wa wapenzi hao kukaa
pamoja. Wapenzi wasio na muda wa kukaa wana hatari ya kupoteza mvuto wa
mahusiano yao na hivyo kuhatarisha uhai wa mapenzi kati yao.
Kama wapenzi wapo mbali mbali basi wanahitaji kuweka muda wa kuongea kila inapowezekana.
Tafuta muda wa kutoka pamoja,hata kama mtaenda mkahawani kunywa chai au juisi tu,inatosha sana na inawaweka karibu zaidi.
Mawasiliano
Mawasiliano ni muhimu sana baina ya wapenzi.
Hata kama umebanwa na kazi pata dakika chache za kuongea na mpezi wako
na kumtaka hali. Andika hata ujumbe wa maneno au barua pepe. Mwambie
mpenzi wako ulipo kila mara inapobidi ili kumjengea imani na wewe na
kumpa amani moyoni. Tuma ramani ya mahali ulipo kama unatumia simu ya
“Smart” (Tuma location kwenye whatsapp)
Mawasiliano ni ufunguo wa kudumisha upendo.
Wakati kuwasiliana na mpendwa wako, kumbuka kwamba upendo ni muhimu.
Ongea toka moyoni na si kwa ajili ya kutimiza wajibu tu,kwani mpezi wako
atajua tu kama hakuna mahaba katika mawasiliano yenu hivyo kutoleta
faida ile inayotegemewa.
Mawasiliano mengine ni yale ya kuelezana yaliyo moyoni. Mweleze mwenza
wako linalokusibu ili kupata ufumbuzi wa pamoja. Wapenzi wanaoongea kwa
utulivu siku zote watakuwa pamoja.
Zawadi
Tafuta kitu cha kumpa mpenzi wako. Si lazima kiwe na thamani kubwa.Inaweza ikawa pipi au matunda tu.
Mnunulie zawadi kila inapowezekana hasa unaposafiri au katika siku yake ya kuzaliwa.
Onyesha Upendo wako
Kila mtu anajinsi yake tofauti ya kuonyesha upendo, lakini vyovyote
itavyokuwa ni jambo la muhimu sana kuonyesha hisia zako kwa mpenzi wako.
Mara nyingi wapenzi wa muda mrefu wanasahau juu ya hili.
Maneno kama “Nakupenda”au majina ya mahaba kama “Mpenzi” au ”La-azizi”
yanachangia sana kuonyesha mapenzi na kumfanya mwenza wako kujisikia
vizuri.
Maneno haya yanaposemwa kwa hisia halisi na toka moyoni yana mchango mkubwa katika kuboresha mahusiano.

Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
ReplyDeleteMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159