Waume za watu bwana siku hizi watamu kama wametiwa sukari ya dubai!
Ukiwaonja hunasuki! Yaani kama sumu isivolambwa. Haramu lakini tamu! Na
hii inatoakana na Mabachelor kuchushaaa! Sifa kuu za waume za watu wengi
ni hizi (Yaani mambo yao kama universal vile! utazani kuna
standardiztion ilifanyika)
1. Wanahonga Balaaaaaaa! Kwa wale wasitaarabu mtaita wanajali! Yaani
wanajua kujikombaga mweeeeee! Wala huna shida ya kumkumbushia shida
yako! Mwenyewe tu anakujali. Akiona huna usafiri atakujali hata kwa tax,
pesa ni kiunganishi, kodi atatoa tu wala si mbishi. Ndo maana ma Miss
Tz wengi wamefanya mapinduzi ama wamejiweka kwa waume za wenzao.
2. Wamepevuka kiakili na wanajua kumhandle mwanamke. After yrs of
constant nagging and endless bettles na wifey lazima akili zimkae
fresh. Yaani the wife did all the coaching, so ukimpa weye anajua what
he better does or else......! Sio mabachelor manshindana kama mtu na mke
mwenzie. Chezea kujikuta situation ya No Way Out all you can do is make
up with the ubavu wa pili.
3. Mahusiano yanakua open na hamna drama drama za kipuuzi! Kila
mtu anajua ule uhusiano ni special kwa kula bata, mikasi, na kumwagiana
pesa! Baaaaaaaaaaaass! Drama za kujipima unapendwa hupendwi hazimo.
Mambo ya kuchungulia simu na u spy na nini unamuachia Wifey. Mkikutana
ni bata mtindo mmoja na kufanya maovu tu.
4. Adventureous yaani hujui mwisho utakuwaje? Kama ndo utachanwa
na viwembe ama utamwagiwa tindi kali! On the bright side hujui kama
utavuna mijumba mingapi na ndinga ngapi? Yaaani balaaaa!
5. Mwanaume anakuwa in constant devotion ya kukurizisha coz
anajua akileta upuuz tupa kule, anajitumaje sasa! Sio kwa simu, sms,
lunch, dates ili mradi kujirizisha yupo kwenye ratiba yako.
DISCLAIMER!
Huu sio msimamo wangu, Im just people! It is what it is and i said it as it is!
Argument za Wake za watu
Ni tabia mbaya Mungu hapendi, na ukimtendea mwenzio hivo nawe utatendewa. Anakutumia tu, he loves me the wifey.
Argument ya Wezi wa waume za watu
Utajiju bibi wee, mi sina mume nina kasoro gani? Tutabanana hapo hapo.
Kwanza sina uhakika kama nitaolewa. Hanitumii tunatumiana, kwani
anaondoka nayo? Na hizi pesa anazonihonga kwa raha zangu! Angekuwa
anakupenda kweli asingekuja kwangu! FYI ndo pia inavunjika vile vile
kutangulia sio kufika.
MI SIMOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!
Haya mvua ya mawe ianze!!!!!!!!!!!!!
Wednesday, June 20, 2018
WANAUME za Watu Wamepanda Bei Sana Siku Hizi.......
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment