Mahakama moja nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mwenye umri wa miaka 19 kwa kumuua mumewe aliyembaka.
Jaji wa mahakama hiyo iliopo Omdurman alithibitisha hukumu hiyo ya kifo
baada ya familia ya mumewe mwanamke huyo kukataa kufidiwa kifedha.
Wakati alipokuwa na umri wa miaka 16 , Nourra Hussein alilazimishwa kuingia katika ndoa na familia yake.
Hakuwa na raha hatua iliomlazimu kutoroka na kujificha katika nyumba ya shangazi yake.
Lakini miaka mitatu baadaye , anasema kuwa alidanganywa arudi nyumbani na familia yake ambayo ilimrudisha tena kwa mumewe.
Wednesday, July 25, 2018
Mwanamke Ahukumiwa Kifo kwa Kumuua Mumewe Aliyembaka
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment