Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini!
Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa
nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.
Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo
mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana
sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na
je does it exist to another woman? or ni mimi tu?
Ushauri jamani
Tuesday, July 24, 2018
Nalia Nikimaliza Kufanya Mapenzi..Naombeni Ushauri Jamani
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment