Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima
sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya
kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja raha
majinuni ya ndoa. Baada ya hapo ni mateso makubwa sana.
". Hasikii la
mwadhini wala la
mtia maji msikitini"
Mke wangu kaanzisha tabia chafu sana na isiyo mpendeza MUNGU na
walimwengu pia. Ilikuwa ni mwezi wa saba wa ndoa yetu usiku wa maanani
ndipo kiini cha dukuduku langu lilipoanza. Baada ya kufanya tendo la
ndoa kwa raundi ya kwanza ndipo mke wangu mpendwa aliponiomba "twende
chooni" akimaanisha nimwingilie kinyume na maumbile.
Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku
ile pekee. Kuanzia hapo mke wangu kaweka msimamo kuwa hanipi haki yangu
mpaka nimpe "kiu yake"
Nafikiria kumpa talaka mke wangu ukizingatia bado hatujazaa.
Naombeni ushauri wana mmu wapendwa.
". Heri kufa macho
kuliko moyo"
Tuesday, July 24, 2018
Naziona Dalili za Kuachana na Mke Wangu..Kwa Kweli Kwa Hili Siwezi Vumilia
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment