Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanandoa wengi huwa hawawezi
kuonyeshana mapenzi yao, yaani yale matendo/matukio/machombezo ya
kimapenzi na kuishia kuishi tu kama washirika wawili wa kisheria zaidi
kuliko hata wapenzi.
Ili hali mapenzi ndio yalitangulia kabla ya wao kuamua kuingia mkataba wa kisheria.
Na hili ndio huchangia kwa kiasi kikubwa wanandoa wa kiume kutafuta hayo
nje, yaani kwa mwanamke asiye mke kwani yule kwa kuwa hajiamini na
nafasi yake basi hujituma bila kuchoka ukilinganisha na yule
anayejehasabu kama muhusika mkuu.
Tatizo liko wapi hapa?
Wednesday, July 25, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Ni Shida Gani ipo Kwenye Ndoa Mbona Wanandoa Hawaonyeshani Machombezo ya Mapenzi?
Ni Shida Gani ipo Kwenye Ndoa Mbona Wanandoa Hawaonyeshani Machombezo ya Mapenzi?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment