Baadhi ya wanawake huwa na hamu ya kufanya mapenzi zaidi kuliko wapenzi
wao wa kiume. Na wakati mwingine wanaume huwa katika wakati mgumu sana
pale wanapokuwa katika mahusiano ama wanapooa wanawake wenye hamu kubwa
ya kufanya mapenzi kuliko wao.
Wakati mwingine jambo hili linaweza kuwa la furaha kwani wewe na mwenza
wako mnakuwa na wakati mzuri wa kujuana vyema, kutambua anachokipendelea
mwenzako katika mapenzi bila kuwa na kikwazo. Lakini kuna wakati jambo
hili huweza kuleta matatizo katika mahusiano yenu.
Wanachotakiwa kufanya wanaume ili kuhakikisha wanawaridhisha wapenzi wao
wenye hamu ya kufanya mapenzi kuliko wao ili kuhakikisha wanadumisha
upenzo na kuepuka masuala ya michepuko.
Msaidie kupiga punyeto
Baadhi ya watu hulichukulia jambo hili kama jambo baya na la aibu.
Lakini kiukweli siyo kama wengi wanavyodhani. Unapomsaidia mpenzi wako
kupiga punyeto utamsaidia yeye kupata raha na kufikia mshindo na
hatimaye ataridhika kuliko kumuacha na ashi, jambo ambalo linaweza
kumpelekea yeye awaze kuwatafuta wanaume wengine ili wamridhishe.
Mpe maandalizi mazuri ‘Foreplay’
Kiukweli kabla ya kufanya mapenzi na mwenza wako, inabidi uhakikishe
kuwa unamuaandaa vizuri kisaikolojia na kihisia ili muweze kufurahia
tendon a mpate kuridhika kwa pamoja. Kuna baadhi ya wanawake huweza
kufikia mshindo hata kabla hawajaingiliwa bado. Jaribu kutumia vitu
mbalimbali, kumshika maeneo mbalimbali ya mwili wake pamoja na kumuambia
maneno matamu ili aweze kuwa tayari kwa kujamiiana. Kufanya hivi
kutapelekea wote kufikia mshindo na kuridhika.
Hakikisha hufikii mshindo kabla yake
Kwa mwanaume aliye na mpenzi mwenye hamu kubwa ya kufanya mapenzi,
unatakiwa kuhakikisha kuwa mnapokuwa mnajamiiana hufiki kileleni kabla
ya mwenza wako. Hii ni kwa lengo la kuhakikisha mwenzako anafurahia
mpaka kufikia kileleni.
Kwa kawaida mwanaume anapofika kileleni uume husinyaa na hautokuwa na
nguvu ya kutosha kuendelea kudumu ndani ya uke. Hivyo ili uume ubaki
kuwa imara, hakikisha unajizuia kufika kileleni mapema mpaka pale mpenzi
wako atakapokuwa anakaribia kabisa.
Boresha muda wako wa kurudia tendo ‘Recovery time’
Kuna wanaume ambao baada ya kujamiiana kwa mara ya kwanza, huchukua muda
was aa moja mpaka mbili ndipo waweze kuwa tayari kurudia kwa mara
nyingine. Kama mwenza wako ana hamu kubwa ya ujamiiana, muda huu kwake
utakuwa ni mwingi mno na mwisho wa siku atakereka na hatimaye anaweza
kuanza kuwaza kutafuta wanaume wengine ambao watakuwa na uwezo wa
kuwaridhisha. Hivyo ili kuepukana na hali hii inabidi ujitahidi kula
vyakula ambavyo vitakuongezea nguvu na hamu ya kufanya mapenzi.
Vyakula na matunda kama tikiti maji, tangawizi, samaki wa maji baridi,
zabibu, mbogamboga pamoja na chokleti vimetajwa kuwa miongoni mwa vitu
vinavyoweza kumuongezea mwanaume hamu ya kufanya mapenzi.
Thursday, September 27, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Fahamu Mambo ya Kufanya Mwanaume Unapokuwa na Mpenzi Mwenye Hamu ya Kujamiiana Kukuzidi
Fahamu Mambo ya Kufanya Mwanaume Unapokuwa na Mpenzi Mwenye Hamu ya Kujamiiana Kukuzidi
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment