Habari wana jamvini kunadada mmoja huyo Pichani jirani yetu imekua kero
kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya
kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa
tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee
eko. Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa
malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke
wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu
tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?
Sunday, September 2, 2018
Makubwa:Amlazimisha Mme Wake Aoe Mke wa Pili Kisa Mmewe Anataka Game Kila Saa
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment