Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Sunday, September 2, 2018

Natafuta Mume wa Mtu



Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa


Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious wacha number yako hapo chini nitakutafuta mwenyewe tuanze mchakato.

No comments:

Post a Comment