Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo
wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata
mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka
mchumba, alihangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto
hukaa maeneo hatarishi ambayo ni Sinza, Magomeni, na Kinondoni, kuna
siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba.
Tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo.
Kwa ufupi wakazi wa Kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na
tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma Oysterbay, Mbuyuni, Sekondari
kisutu, Kambangwa , Kinondoni musilim.
Hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia.
Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? wengi wanaishi kwao..
Unakubaliana na Mimi Au Unakataa?
By Lubaz
Wednesday, September 26, 2018
Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni Sio Sehemu Nzuri za Kuchagua Mchumba
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment