Kuna
sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba. Sababu hizo
zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke, mwanamume au wakati mwingine
kutojulikana kabisa hali hiyo imesababishwa na nini. Wataalamu wanasema
kwamba kwa miaka 20 iliyopita matatizo yanayohusu kushindwa kuzaa
yameongezeka kwa kiwango...
Friday, January 18, 2019
undefined
201
Wataalamu
wanasema wamegundua kwamba mbegu za kiume huanza kwenda kwa kasi
wakati zinapofika karibu na yai la mwanamke, suala ambalo huenda siku
zijazo likasaidia katika kupatikana dawa ya kuzuia mimba ya wanaume.
Vitundu vidogo vilivyoko juu ya mbegu hizo za kiume huziwezesha
kubadilisha PH yake ya...
UWEZEKANO wa wanawake wa mijini kupata vitambi ni mkubwa mara mbili ya
asilimia 32 kwa miaka kumi ijayo tofauti na wa vijijini kwa asilimia 12
katika miaka hiyo, imeelezwa. Hata hivyo hali ya mama na mtoto
kwa sasa ni bora, licha ya kujitokeza tatizo la vitambi na karibu
matatizo yote yanayohusu...
undefined
201
Kina mama wenye mimba ambao huongezeka uzito kwa kasi katika miezi
mitatu ya mwanzo ya ujauzito wanakabiliwa na hatari ya kupata kisukari
cha mimba (gestational diabetes). Kifafa cha mimba ni hali ambayo
wanawake ambao huko nyuma hawakuwa na ugonjwa wa kisukari huonekana kuwa
na ongezeko la sukari...
Wengi
hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya
mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo.Wanawake
wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha mapaja, kuta za matiti, mgongo
au kitovu wakiamini huwavutia wanaume na watawatongoza na kufanya
biashara yao...
undefined
201
Utangulizi
Moja ya makosa makubwa ambayo yamekuwa yakifanywa na wanaume, ni
kujifunza mbinu mbalimbali za kuwatomba wanawake zao wakidhania kuwa
kujua namna na staili mbalimbali, ndio kunawafanya wanawake zao kufikia
kileleni. Nasema ni makosa kwasababu, wakati mwanaume yeye anapokuwa na
mwanamke akili...
undefined
201
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika
maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa
kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu,
bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini,
kuna faida zozote za kiafya...