Endiketa" ni Msamiati lakini maana yake ni kubana,kuvuta na kuachia uume kwa kutumia misuli ya uke. Mtindo huu wa ufanyaji ngono humpa mwanaume raha ya ajabu ambayo mara nyingi itamfanya akushikilie kwa nguvu au abaki anaguna-guna tu (jaribu kumsemesha kisha sikilizia sauti yake hehehehe sauti itakuwa haitoki vema kwa utamu)....Endiketa ukiipatia ni mwisho wa matatizo.
Kubana huku au niseme ubanaji wa Uume kwa kutumia misuli ya
uke kuko tofauti inategemeana na mtu mwenyewe vilevile "timing" yako
kwani unapaswa kujua ni wakati gani unatakiwa kubana, kamua na
"kubanua".
Vilevile kuna baadhi ya wanawake (kwa uzoefu wangu
mwenyewe) kama mumeo amekufanya vizuri siku hiyo na kukaribia au kufikia
mwisho wa uke utahisi utamu wa hali ya juu uliochanganyikana na maumivu
fulani hivi, sasa mpenzi akiendelea na shughuli utahisi kila akienda
juu unamvuta ndani (yeye atahisi hivyo pia) hii hutokea bila kubana
misuli ya uke kwa mtindo ambao kila mtu anaujua au nitakaouelezea hapa
chini.
Kabla sijakwambia inakuwaje wakati unapofanya mapenzi na
mikao yake ambayo itakurahisishia "kuendiketa" kwa nafasi napenda
utambue jinsi ya kuibana misuli hiyo ya uke ambayo inahitaji mazoezi
ambayo yatakusaidia pia kurudisha maumbile yako kama ilivyokuwa awali
baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Nitaiweka hapa kwa kiswahili rahisi ili unielewe
vema....sawa! Sote tunafahamu jinsi ya kukata/zuia mkojo usitoke, kule
kuzuia ndio kubana misuli ya uke na ukiachia mkojo utoke ina maana
misuli ya uke imeachia pia, sasa hivi unavyosoma fanya hivyo bila kuwa
na mkojo (yaani hujabanwa mkojo) bana kisha hesabu mpaka kumi kisha
achia rudia tena na tena. Fanya hivi kila siku, mahali popote ulipo,
wakati wowote......kumbuka kuendelea na zoezi hili kila unapofanya
mapenzi.
Jinsi unavyofanya zoezi hili mara nyingi ndivyo misuli yako
inavyozoeana na ile hali ya kubana na kuachia inaongezeka na siku moja
mumeo akikuuliza "mbona siku nyingine K inakuwa mnato sana" ujue umeanza
kufuzu.....hiyo ni namna moja ya kumpa "Endiketa" mpenzi wako.
Namna ya pili ni ile ya kutumia misuli ya uke na misuli ya
tumbo kwa pamoja (kama tumbo lako linanyama nyingi pole kwani hutoweza
kufanikisha hili).......
Mikao na namna ya ku-Endiketa.
No comments:
Post a Comment