Kuna
jambo linanishangaza sana, utakuta mwanaume anapata muda wa kukaa
kitako muda wa dakika tisini au zaidi akiangalia mpira, au masaa manne,
matano na wengine wanakesha kabisa katika baa wakinywa na kula tu,
lakini wanasahau kabisa kutenga muda tena mdogo tu kama dakika tano
mpaka nane kwa siku kwa ajili ya kuimarisha nguvu za kiume kwa kufanya
mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume.
Mwanaume
anefanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya uume hawezi kuwa sawa na
mwanaume asiyefanya mazoezi haya sio tu katika kuimarisha nguvu zake za
kiume lakini pia kuweza kujitawala katika tendo la ndoa na kuweza
kumfikisha mwanamke katika raha ile inayotakiwa.
Mazoezi haya yakifanywa kwa dhati yanaweza kumpa mtu matokeo mazuri sana ilimradi afuate utaratibu atakao takiwa aufuate.
Hizi ni miongoni mwa faida zinazopatikana kwa kufanya mazoezi haya ni hizi zifuatazo:
Kwanza
humpa uwezo mwanaume kuweza kusimamisha uume wake kwa muda mrefu zaidi
kuliko ambavyo alikuwa anaweza kuusimamisha kabla ya kufanya mazoezi
haya.
Pili
mazoezi haya hufanya mtiririko wa damu kwenye uume uwe mzuri hivyo
kuufanya uume uwe na nguvu na kuondoa kabisa tatizo la nguvu za kiume.
Tatu
humpa uwezo mfanyaji wa mazoezi haya kukawia kumwaga mbegu hivyo kumpa
nafasi mwanamke aweze kufikia katika kilele chake pasi na kumkatishia
njiani.'
Vifaa Unavyohitaji
1. Mafuta ya mizeituni (Olive Oil) au mafuta ya nazi au Alizeti au mafuta ya mgando (gel)
2.
Jiko lolote ili upate mvuke wa kutosha unaweza kutumia jiko la mchina,
stove, au hata la mkaa lakini isiwe moto mwingi uwe kiasi tu lengo ni
mvuke
3. Kitambaa kisafi na laini na maji safi ya uvuguvugu
Namna ya kufanya mazoezi ya Kuongeza nguvu za kiume
1.
Loweka kitambaa chako katika maji ya uvugu vugu kisha anza kwa
kuusafisha uume wako kwa kitambaa laini cheye maji ya uvugu vugu kama
unauchua uume kwa kuuvuta mbele. Fanya zoezi hili kwa dakika tatu.
2. Pakaa mafuta yako kwenye viganja vyako viwili vya mikono yako kama vile unataka kujipaka mafuta mwilini.
3.
Weka viganja vyako ili vipate mvuke wa moto kutoka katika ama jiko la
mchina, stove au kitu chochote utakachotumia. Ukiona viganja vimepata
joto kiasi cha kutosha siyo mpaka uungue mikono, kisha
4. Kamata uume wako ukiwa unauchua kwa kuuvuta mbele kwa nguvu kidogo
sana ukianza na mkono wa kulia alafu wa kushoto au kushoto halafu kulia
vile utakavyoona inafaa. Joto kwenye mikono likiisha rudisha mikono yako
uipashe tena ili ipate joto kisha rudia kuuvuta vuta tena uume kwa
muda wa dakika kumi.
Kumbuka
Mazoezi
haya hufanywa mara mbili asubuhi tu mtu ukiamka na wakati ukitaka
kwenda kulala na ni kwa muda wa wiki tatu. Utaona matokeo yake.
No comments:
Post a Comment