HUU MCHAMBO UTAWAHUSU WENGI AMBAO HAWAJAOLEWA NA WACHACHE WALIOOLEWA WENYE TABIA ZA AINA HII
MWANAMKE
UMEKUA NA MWANAUME KWANZIA MWAKA MMOJA MPAKA MIAKA KUMI UBOYFRIEND
TUUUUU HATA BARUA HUJATOLEWA, WALA KUTAMBULISHWA RASMI HUJATAMBULISHWA
HATA KUONYESHWA GETI LA NYUMBA YAO HUJAWAHI UMEKAA KABISA UNARIDHIKA ETI
SIKU TU ATANIOA
HIVI
HUSHTUKI WEWE, MWANAUME MIAKA YOTE HIYO HATA HAJAKUTAMKIA KUHUSU NDOA,
AMA KAMA UNAPENDEZA KUA MKEWE AMA HATA KAMA UNACHEMBE TU KIDOGO CHA
KUMFANYA ABADILISHE MAWAZO YAKE YA KUTOKA UBACHELA KUJA KWENYE KUOA
MARA
GHAFLA ANAKUJA KUKWAMBIA NIMEAMUA KUOA KWASABABU WAZAZI WANGU WANATAKA
NIOE KABILA LETU, AU WANATAKA NIOE FAMILIA FULANI, KWAHIYO NIACHE NIOE
LAKINI MIMI NA WEWE TUTAENDELEA NA WEWE KWA UJINGA WAKO UNAKUBALI ETI
CHA MUHIMU MMEJUANA SIKU NYINGI UMESHALIZOEA DYUDYU LAKE UNAWAZIMU NINI
WEWE, MBONA YEYE HAJAZOEA KIFUU CHAKO AKAAMUA ATAFUTE DAFU
TEKETEKE...MFYUUUU
ULIVYOKUA
HUNA AIBU WALA ADABU UNAENDA KABISA KWENYE HARUSI YA HUYO BWANA YAKO
ANAYEOA UMEKAA HAPO KWENYE KITI UNAMNYALI MTOTO WA WATU ALIYEOLEWA,
HUNAA AIBU WEWE WAKATI MWANAUME ANAKUNYALI WEWE ULIVYOKUWA MJINGA
ANAKUTUMIA NA KUKUCHAKAZA, WAKATI KAOA MTOTO MZURI WEWE GUUMEGUME LA
KUTUMIKA UPO TU KILA MWANAUME AKITAKA KIFUU UNAKIPANUA TU JAMAA ANACHUKA
NAZI ANAITUMIA UNAMPA NGUVU YA KUMFIKISHA MKEWE KILELENI KWAKO
ANATANGULIZA KWA MKEWE ANAMALIZA...
UNAMSEMA
MSICHANA WA WATU MKE WAKE MWENYEWE HATA SIO MZURI KAMA MIMI KAMA
WANAUME WANAFWATA SURA NA WEWE MZURI MBONA MPAKA LEO UMEKUA MAHARAGE YA
MBEA UMELIWA UMEACHWA
MARA
BAADA YA KUOA MWANAUME SIKU ANAKUTAFUTA OOHH MPENZI LEO NIMEKUMISS SANA
TUONANE, SHOGA TENA UKISIKIA TU YALE MANENO KIFUU CHOTE KINALOA, SAWA
MPENZI HATA MIMI NILIKUMISS HUJIULIZI KWANINI KAOA NA BADO ANAKUTAFUTA,
HUJIULIZI KABAKISHA NINI KWANGU LEO ANACHOKIONA CHA MAANA NA SIO CHA
MKEWE, HUYOOO UNAENDA MPAKA GESTI AMA SEHEMU MLIPOPANGA MKUTANE, UKIFIKA
PALE ANAKICHOKONOAAA WEWEEE KIFUU KINABAKI CHEUPE KIMEVIMBA KAMA
KALIMATI WEWE MOYONI UNAWAZA LEO NIMEMPA HUYU NA MKOMOA MKEWE WAKATI
MWENZIO MOYONI MWAKE ANAWAZA NGOJA NIPITIE SEHEMU NIKWANYWE SUPU YA
PWEZA MAANA MKE WANGU AKITAKA LEO NIKISHINDWA KUMPA SIJUI ITAKUWAJE
YANI
KWAKO ANAKUTAKA KWA TAMAA, MOYONI BADO ANAMTAKA MKEWE KWA HAMU NA
KUMUWAZIA ASIPOWEZA KUMTIMIZIA HAMU YAKE SIJUI ITAKUWAJE..
OOHHH
TUKUTANE TENA SIKU NYENGINE MPENZI BASI UKIONDOKA NAKWAMBIA UNAENDA
KUJIFUNZA KILA AINA YA CHEJO UTAMPA CHEJO GANI WEWE MUME WA MTU ASILOMPA
MKEWE HIVI UNAJUA KAMA KULALA NA MTU SIKU 365 NDANI YA KILA MWAKA
WALIOPO PAMOJA SIO MCHEZO KAMA NI STYLE KASHAMPA ZOTE ZIMEISHA SASA HIVI
BABA ANABUNI STYLE MPYA TU ZA KUMPA RAHA MKEWE KWAHIYO SHOGA WEWE UKIJA
NA MPYA USIDHANI UNAMKOMOA MKEWE KAMA MUME KANOGEWA NAYO ATAENDA
KUMFUNDISHA NA MKEWE, NA KWATAARIFA YAKO WAKE SIKU HIZI SIO KAMA
KAZAMANI WANAJIFUNZA KILA KUKICHA KILA UKISIKIA KUNAFUNDWA AMA SEMINA ZA
NDOA WAKE WAPO KIBAO NA PETE ZAO MKONONI KWAHIYO SHOGA UTAHANGAIKA
SANAAAAAA.....
ULIVYOKUA
HUNA HAYA WALA ADABU KILA KUKICHA OOHHH MIMI MUME WA MTU SIWEZI
KUMUACHA, NA LAANA YA MKEWE NA MAOMBI YOTE ANAYOYAFANYA MKEWE KWA
MWANAMKE ANAYELALA NA MUMEWE NJE YA NDOA UJUWE HAZIWEZI KUKUACHA KILA
SIKU UTAKUA NA MIKOSI, HUTAKAA NA FURAHA KILA SIKU WEWE UTAKUWA WA
OVYOOVYO TU, UTADHARAULIKA NA WATU WA KARIBU NA WANAOKUSIKIA..UNAMJUA
FATUMA NDIO SI YULE MLA WAUME ZA WATU YANI WAUME ZA WATU NDIO WANAMUWEKA
MJINI, SHOGA KWAKO UNAJIONA SIFA NZURI WAKATI HAMNA SIFA MBAYA KAMA
MWANAMKE ANAYESHINDWA KUWA NA MWANAUME WAKE AKAMLEA AKAWEKWA NDANI KWA
HESHIMA NA KUTUNZWA...UTABAKI KUWA JALALA HIVYOHIVYO WAKUTUPIWA KILA
TAKA NYEPESI, NGUMU ZOTE ZAKO SURA MPAKA INAKUFUBAAA UNAZEEKA KWA
KUBEMBELEA VYA WATU..
MTOTO
WA KIKE NYEGRYEEEE HAZIKUISHI KILA SIKU, UNACHEKACHEKA TU KILA SAA
UKIONA WANAUME HUISHI KUSHOBOKA, UKITEKENYWA KIDOGO TU HATA KAMA
UNATANIWA UNAJIPELEKA MPAKA GESTI, NYEGRYEEE ZITAKUISHAJE WEWE WAKATI
MWANAUME WAKO HUNA HATA WA KUZUGIA UNAGANDANA NA WA WATU TU,
WATAKUMALIZAJE NA UNAWINDA UNASUBIRI LEO NA MKEWE HAVIELEWEKI UKAPEWE
JAPO CHA JUU JUU, AMA MKEWE KASAFIRI NDIO PONEPONEA YAKO UTAMBANA
MWANAUME MPAKA SAA SABA USIKU..POLE SANA
MIMI
NAKASIRIKA SANA KUONA WANAWAKE WANAOJIRAHISISHA KWA WAME ZA WATU YANI
NAKASIRIKA, TENA WANANIJUA MARAFIKI ZANGU IKIFIKA HIZO ISHU HATA KAMA
WEWE SHOGA YANGU USHOGA UNAISHIA HAPO SIPENDI KABISA UJINGA, KAMA WEWE
UNAJIONA MZURI SANA SIUNGEMUDU WA KWAKO PEKE YAKO KWANINI UDANDIE GARI
UMEKUA KONDA???
YANI
KWA HIZI SIKU MUNGU ALIZONIPA HUMU DUNIANI, SHOGA UTAISOMA NAMBA YANGU
JAPO KWA KUZIPAPASA NITAKUCHAMBAA NA TABIA ZAKO ZOTE, NITAKUA BEGA KWA
BEGA KUIMARISHA NDOA ZOTE ZA WATU KAMA NYIE MNAOTAKA KUZIBOMAOA,
HAZIBOMOKI NA HATA KAMA KWA TALAKA ATATOA MOJA YA KUPEANA NAFASI TATU
KWA ANEYEPITA HUMU HAKUNA.. NA HATA KAMA ULIACHIKA KABLA YA KUNIJUA BIBI
UTAPATA PENGINE UTADUMU, NA HATAKAMA HUJAPATA UTADUMU NA USINGLE MAMA
WAKO, HUTAKUWA CHAMBO LA KUPITIWA KULIWA URODA OVYOOOO...
KAMA
HILI LAKO LINYWE, KAMA LA SHOGA YAKO MPELEKEE HABARI ZAKE, KAMA LA WIFI
YAKO HATA KWA SIMU FANYA KAMA UMEKOSEA NAMBA ZIMFIKIE, UKISHAKUNYWA
LIKUSUKUTUE MWILI UKALIKOJOE CHOONI...NUNA LIA PASUKA HABARI NDIO HIYO,
SEMA, CHAMBA, TUKANA, LIA, NYALI..UJUMBEE UKUFIKIE MAHALI ULIPO.
HAHAHAHA HALOOOO NGOJA NITEME MATE JUU MIYE CHINI YATAKAUKA UPATE KUYASIGIDA..
****END*****
No comments:
Post a Comment