leo
nataka kuzungumzia maneno ya mahaba, jamani tunajuwa ya kwamba ukiwa na
mpenzi wako unafurahi zaidi pale japo muda fulani atakupa maneno
matamu, na mazuri na yenye kuzidi kukupa moyo wa wewe kuzidi kutaka kuwa
naye...
sasa
kuna wapenzi wengine hata mimi nilishapitia mmoja wakati fulani, jamani
wanaume na wanawake wenzangu hebu tujitahidi maneno kama mpenzi, honey,
sweety, mkiwa mbele za watu kumuita mpenzi wako sio mbaya maana wengine
haswa waliozaa utasikia baba fulani mara mama fulani inamaana baada ya
kuzaa mpenzi, sweety, honey umeisha?????? tunawapenda sana watoto wetu
lakini wao wananafasi yao na mwenza wako ananafasi yake...
kwenye
sita kwa sita watu utawakuta kimya tu madai wanasikilizia uhondo,
jamani kuna maneno pale ama mnaoneana aibu sasa kwangu raha mpenzi
aongee aniambie anavyojisikia wapi niongeze, vipi nikae, wapi nimshike
kwa sauti ya taratibu na yenye mapenzi tele....sijui wewe mwenzangu
sasa
pakiwa kimya tu jamani na ndio kwa mfano kitanda ndio vileeee ukigeuka
tu majirani mpaka watujuwa hizo kwinyo kwinyo kwinyo hapo kwenye mechi
sindio balaa maana utakuwa usikilizii raha unakilaani kitanda tu hichi
nacho mpaka watu wajuwe leo napewa.....
kama
mnaona aibu kuongea basi kama chumbani kuna redio wekeni hata mziki wa
taratibu kuwahamasisha zaidi, maana ule ndio utakaoongea kwa niaba...
maneno ya mahaba jamani ndio mafuta tosha ya kuendesha hilo gari la mapenzi...
No comments:
Post a Comment