Kama wewe ni mmoja wao kati ya wale ambao unaombea mambo yaende vizuri wikiendi hii na mpenzi wako awe katika hali na hisia nzuri ya huba na mahaba ili upewe mapenzi ya kutosha. Kiumeni.com imekuandalia mambo 4 ambayo unapaswa kuzingatia ili hamu ya ndoto zako zifanikiwe.
Watu wengi siku hizi huwa wanaanza kuiwaza wikiendi pale tu jua la jumatano linapokuwa linaanza kuzama.
Usije kuwalaunu watu hawa maana huwa ni kawaida.
Ni kawaida maana wikiendi ni siku ambazo watu wengi huweza kukutana na
wawapendao bila kuwa na mashaka au mawazo mengine ya kiofisi au shughuli
yoyote nyingine.
Mihangaiko na jinsi mambo yanavyokuwa bize kipindi hiki cha kiutandawazi
na maendeleo ni vigumu mtu kuwaza mapenzi hasa katikati ya wiki.
Na huwa inatokea na ni mara nyingi wikiendi inafika ila unajikuta
haupati mapenzi ya kutosha kama vile moyo wako unavyokuwa unatamani
itokee, kwa wale ambao wangependa mambo mazuri ya kubomoa chaga za
vitanda yatokee wikiendi hi, hizi hapa ni njia za kufata ili ufanikishe
unayoyawaza.
1. Mnunulie mpenzi wako zawadi. Zawadi ni njia moja nzuri na inayoweza kukufanikishia mambo yako yakaenda utakavyo na kuvunja buyu la asali,
tafuta zawadi nzuri ambayo unajua atapendezwa nayo, iwe gauni zuri au
mkoba mzuri na mapenzi yaliyozidi kipimo yatakuwa yako mwisho wa wiki
hii.
2. Mtoe mtoko sehemu nzuri. Wikiendi hii inaweza kuwa wakati
mzuri wa kumtoa kwenye mtoko msichana wako, jaribu kutafuta sehemu
nyingine tofauti na chumbani kwako na utaona mafanikio ambayo
yatajitokeza, mkitumia siku mbili kwenye hoteli flani, mapenzi yatakuwa
mengi kama vile mpo kwenye hanimuni, maana itakuwa kula, kunywa na mambo
yetu yakifuata katika kipimo ukipendacho wewe kwa wikiendi nzima.
3. Umtaarishavyo vizuri kimahaba ndivyo utakavyo pewa mapenzi mengi na mazito zaidi. Je
wewe ni kati ya wale wanaohisi mapenzi ni kitendo cha uume kuingia
sehemu ya kike tu? Hapana, kitu cha kwanza unatakiwa umtengenezee hakshi
ya mahaba, mpeti peti umfanye apate hamu kwa kumtaarisha kwa hali nzuri na kwa mitekenyo inayohitajika,
mtayarishe bila haraka, mbusu mabusu ya hisia, mashavuni, kwenye midomo
yake telemka taratibu mpaka apate raha duniani na mpe maneno matamu ya
kumchanganya zaidi. Mambo yote haya ukiyafanya vizuri na ukamfanya apagawe hakika lazima na yeye atataka zaidi na wewe utapata yakutosha pia.
4. Mwachie Aongoze Mambo. Ukweli ni kwamba wanaume wengi huwa
hujiangalia wao tu, hawataki kusikiliza japo hata kumuuliza mwenza wao
naye angependelea nini, wanawake wanapenda sana akipewa nafasi ya kuamua
ni spidi gani itumike mkiwa kitandani, kwa hio badala ya wewe kufanya
bila kumuuliza mwenzio anataka nini na mfanye mapenzi kwa staili gani,
mwachie nae aamue, mwambie hii siku ni ya kwake yeye, wewe kwake ni
mtumwa tu, atatakacho upo kwa ajili ya kumtimizi, muulize umshike wapi
na umfanye nini maruhani yake yapande, muulize angependelea kasi gani ya
ufanyaji wa mapenzi, mnongoneze maneno matamu ya kumpagawisha. Kama
akitaka yeye ndo awe juu, na wewe uwe chini mwache dada wa watu afanye
yake, ajifikishe mwenyewe apendako na kama ni kileleni, haya! jinsi atapokuwa anasikia raha na kufurahi ndipo atakapo hitaji zaidi na wewe mwisho wa siku kupewa zaidi.
Na hapo mpaka wikiendi iishe lazima uwe mwepesi kama bendera.
No comments:
Post a Comment