Wanawake wengi na wanaume pia hudhani mwanaume mwenye uume mkubwa ndio
anayeweza kumridhisha mwanamke katika swala la mapenzi. Katika siku za
hivi karibuni watu wamekuwa wakijiuliza ni size gani ya kifaa
kinachotakiwa kufanyia mambo yetu yale....
Kumekuwa na fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume,wanapoamka asubuhi
kitu cha kwa kwanza ni kufikiri namna gani wataweza kuwavutia wasichana,
na namna gani ya kuweza kuwavutia wanaume kwa upande wa wasichana.Hapo
ndipo suala la Kukuza Makalio,Matiti Na Uume linapochukua nafasi
yake,huku yote hayo YAKIIGWA kutoka katika mikanda ya NGONO
Tukizungumzia swala hili kutoka katika makampuni ya mikanda ya NGONO,Wao
wanadai kuwa mwanaume lazima awe na ukubwa kiasi flani ili aweze kuwa
bora zaidi kwa mpenzi wake,na hapo ndipo uanaume wake unaweza
kukamilika
Kitu Cha Msingi Ni Hiki Hapo Chini
Kama tu vilivyo vidole vyako,vina urefu tofauti lakini vyote vinafanya
kazi moja bila ya kujisikia kuwa kidole flani ni bora kuliko
chenzake.Kwa mujibu wa doktari pia mchungaji Olamide Craig yeye anadai
kuwa "mwanaume sio lazima awe na size kubwa ya uume ili kumridhisha
mpenzi,kitu cha msingi ni kujua mpenzi wako anataka nini na kwa namna
gani waweza kufanya ili mpenzi wako aridhike{AKOJOE}"
Usidanganyike kuwa ukubwa wa uume ndo humridhisha mwanamke kwani wazee walisema "Ukubwa Wa Pua Sio Wingi Wa Kamasi"
Pia acha kufuata mambo ya mikanda ya ngono kwani wao wapo kazini na huwa hawafanyi hivyo wanapo kuwa kiromantiki zaidi
No comments:
Post a Comment