Marumbano mengi sana yanahusisha simu za
mikononi,,,watu wanatumia simu kutongozana, hadi kukutana na kufanikisha lengo lao,
kwa njia ya sms, na hata kwa kupiga…. Ndio maana unakuta watu wengi simu zao zinakuwa
na password,… ukiuliza wanajitetea kwamba anataka details zake ziwe sectret… sasa
secret hiyo iwe hadi kwa mpenzi wako?? Kama nyie ni wamoja, unaficha nini kwenye
simu yako????
AU WEWE MSOMAJI UNAONAJE??????????
No comments:
Post a Comment