Ulimuona binti ukampenda ama ukamtamani mie sijui, ukamfuata na
kumtongoza lakin akakukataa kwa vile alikuwa hajui kama unampenda kweli,
lakini kutokana na umahili wako wa ulaghai ukamdanganya weee mpaka
akakubali.
Alipokubali tu ukataka umlale, lakini kwa vile alikuwa hajawahi kufanya
Mapenzi (bikra) akagoma, ukaamua kutumia PHD yako ya ufuska ukafanikiwa
kumvua chupi na kumaliza haja yako. wakati huo mtoto wa watu alikuwa na
chuchu saa sita.
Haukuishia hapo ukataka tena na tena na tenaa, mpaka ukampatia mimba,
lakini alipokueleza nina mimba yako naomba unioe. ukamjibu bado
hujajipanga kuoa na ukamshauri mkaitoe, kwa kuwa binti aliwahi kusikia
kuwa ukitoa mimba waweza kufa akagoma. hapo ndipo ukatumia ujuzi wako
woote wa umalaya kumdanganya mpaka akakubali, makatoa mimba kwa bahati
mbaya shuleni wakagundua akafukuzwa shule, wazazi wake wakahuzunika sana
lakini wakashindwa wafanye nini.
Ulipoona wazazi wametulia, ukamfuata tena na kudai muendelee na Mapenzi
kwa vile alikuwa anakupenda kweli, akakubali na Mapenzi yakaendelea.
katika Mapenzi yenu sasa ukampachika mimba ya Pili mkatoa ya Tatu pia
mkatoa na hatimaye mimba ya nne.
Binti akawa ameanza kuchoka, sura inakuwa ya kizee na maziwa yake
yamelala kama sox za mgambo kwenye kamba, umbo lake la namba 8 halipo
tena. wewe mambo yako yamekunyokeea sasa unataka kuoa mwanamke nwingine
na kusema huyo demu wako siyo wife Material. UNAFIKRI HUYU BINTI
ATAKUFANYAJE? TUBADILIKE WANAUME!
No comments:
Post a Comment