1. Wanawake wanene wana furaha
Wembamba haujawahi kuhusishwa na kujamiiana. Hata katika nyakati za
kale, watu waliamini wanawake wanene walikuwa wazuri katika kufanya
mapenzi. Miili ya wanawake wanene inatoa homoni nyingi ya endorphin
ambayo husababisha furaha na ambaye inachochea hisia za ngono.
2. Wanawake wanene wana afya
Umbo la unene linaashiria afya na uzazi. Kiuno chembamba na makalio
mapana humfanya mwanamke kuonekana mkamilifu kiafya na wa kuvutia.
3. Furaha maishani ni furaha kitandani
Kuna kanuni moja hapa: ikiwa mwanamke ana furaha maishani basi atakuwa
na furaha kitandani. Mwanamke mwenye furaha hana vizuizi kwani hujua
analotaka na jinsi atakavyoridhika.
No comments:
Post a Comment