Weekend
hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo kuhusu masualaya mahusiano pia
kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia katika maisha ya
mwanadamu.
Katika
masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake
kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa
sita.
Jambo
la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na mwenye kuamini katika kile
unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa mkishafika
katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo, Hakikisha
unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya
sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko
mkubwa.
Baada
ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa nguo zako kisha
mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba
ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa
mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana
huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi.
Unapoona
tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi
kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya
sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja
vyake na mapaja na nk.
Fahamu
ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza
kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona
akisisimka zaidi.
Sehemu
nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri
mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni maeneo hayo
huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi.
Eneo
jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni
sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele
(kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi
kwa haraka zaidi.
Uwapo
katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku
ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako
anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo.
Pamoja
na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako jitahii sana
kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la ndoa huwa
hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia.
Katika
tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa
tendo la ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo.
Baada
ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi wako
kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu wa
penzi kwa taulo uliloandaa maalum.
No comments:
Post a Comment