Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Thursday, May 18, 2017

Sifa za Wanaume Katika Mahusiano na Mapenzi Kutokana na Majina Yao!


Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi
1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya

2. Nicolas-muongo

3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja

4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu

5. Joseph/Josephat-kicheche

6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa

7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu

8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri

9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege

10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia

11. Prosper-hajui habari za mapenzi

12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie(kuwadi)

13. Peter-maneno mengi ila vitendo sifuri

14. Christopher-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu

15. Elvis-Handsome ila hapendwi na mademu

16. Edward/Eddy -serious sana kwenye mapenzi

17. Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha

18. Ally-wasiri sana kwenye mapenzi

19. Mohammed-anapenda watu waliomzidi umri

20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya

21.Frederick-anapenda sifa kwa wanawake ili apendwe

22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli

23. Elias-anapenda mademu ila anaogopa kuwaambia

24. Frank-huyu mpole, hajui kudanganya, wanawake wanajitongozesha wenyewe

25. Joachim-hana habari na nademu, anaamini ipo siku ataoa tu

26. Benjamin-anapenda achape tu atembee

27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa

28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu

29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii

30. Benard-akipenda kapenda

31. Daudi-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa

32. Davis-anapenda sehemu sahihi lakini uacha na kupotea pabaya.

33. Daniel-ana maneno mengi sana na ni muongo

1 comment:

  1. Hapo kuna research yoyote imefanyika kuhusu majina hayo Kweli au baada ya kula nyama choma ndo mnaanza Kuwaza vya kuandika!!!!!

    ReplyDelete