Kuona sanaa ya kutongoza ikitumika vile ipasavyo ni kama vile kuona
mhariri akighani shairi. Kuna watu stadi ambao huifanya kuonekana
rahisi, na chemia wanayojenga ndani yake ni ya kustaajabisha.
Kabla hujasoma zaidi ya hapa nataka tufahamiane vizuri ya kuwa hutatumia siri hii KUMNYANYASA MWANAMKE YEYOTE.
Siri hii ambayo nataka kukuonyesha ni wanaume kidogo dunia hii wanaoijua
na imefanywa siri kwa wachache hivyo wakati wowote tunaweza kuamua kama
NESIMAPENZI.com kuiondoa post hii bila kukujulisha. Pia tunatumai
umesoma sheria na masharti ya NESIMAPENZI.com hivyo hatutahushishwa ama
kulaumika na matukio yeyote ambayo yatakutokea iwapo utaamua kuendelea
kusoma machapisho yeyote katika blog hii.
Ok tukirudi kwa mada yetu kunakitu nataka kukuuliza. Je ushawahi kuathirika na uraibu wa kitu chochote?
Hapa siongei kuhusu dawa za kulevya. Naongea kitu chochote kile ambacho
kishawahi kukufanya kuingiwa na hamu ya kukitaka papo hapo. Inaweza kuwa
chakula ama kitu ambacho ulitaka kununua.
Je ulikuwa ukijua ya kuwa hio hamu yote imetokana na saikolojia ambayo
hujijenga katika mwili wako? Hii inaitwa 'uraibu kasi', na hii mbinu
imebobea kwa watangazaji bidhaa ambao hutumia sanaa hii kufanya wanunuzi
kukimbilia kununua bidhaa zao. Wanajua rangi, sauti, maneno, na shepu
ambazo zitafanya kubadilisha homoni na mfumo wa neva zako mwilini.
Hii ni nguvu ya hali ya juu ama?
Ok well sasa waonaje wewe kama ungeweza kuwa na uwezo wa kutumia 'uraibu
kasi' kwa wanawake? Sababu nakuaminia ya kuwa una uwezo mkuu wa kutumia
ujanja huu kwa urahisi. (Kwa wale ambao ni wapya kwa blog hii
wanahitaji kusoma machapisho ya awali kurahisisha mpango mzima)
Ukitaka kumpatia mwanamke 'uraibu kasi', uchawi wote uko kwa miguso
yako. Wanawake kwa kawaida wanahisia zaidi kwa miguso ukilinganisha na
wanaume, hivyo unaweza kujenga nishati kubwa ya hisia kwa mwanamke
kupitia miguso yako.
Ufunguo wa kumfanya mwanamke awe na 'uraibu kasi' ni kuhusisha miguso
yako na vitu ambayo anavipenda kwa uzoefu, jambo ambalo si gumu
kutimiza. Watangazi bidhaa wamekuwa wakitumia mbinu hii miaka nenda rudi
inayojulikana kama 'nanga' ama anchors kiingereza.
Kunanga ni kuhusisha vitu viwili ambavyo havina uhusiano wowote ule ili
kuleta uhusiano huo katika akili ya binadamu. Mfano ni katika utangazaji
wa gari ambapo utaona mwanaume akiendesha gari hilo huku akiwa amekaa
na mwanamke mrembo kando yake.
Watengenezaji vipodozi utaona wakionyesha mwanamke akijipodoa akiwa na
mwanaume, matangazo ya vyakula wakionyesha familia yenye furaha,
watangazaji vileo wakionyesha wanaume wenye nguvu wakiwa na wanawake
warembo nk.
Ok hivi vitu vyote vina uhusiano gani na mwenzake?
Havina, lakini pindi ambapo uhusiano utajengwa katika akili ya mnunuzi
kunajenga ile hisia ya uzoefu ambayo inaleta 'uraibu kasi' ambayo
hufanya wengi kukimbilia kununua bidhaa. Sasa sijui kuhusu wewe lakini
kama makampuni wanatumia mamilioni ya pesa kutumia mbinu hii ya 'uraibu
kasi' kufanyia matangazo yao bila shaka inaashiria hufanya kazi,
naonelea mbinu hii pia inaweza kukufanyia kazi.
So utatumia nini mpaka mwanamke aingiwe na uraibu kasi? Rahisi. Kile
unachotakiwa kufanya ni miguso yako ama kumakinika na mambo chanya
ambayo yanampendeza au kumfurahisha...inaweza pia kuwa misisimko.
(Hakikisha ya kuwa miguso yako unaifanya kiustaarabu kwani akigundua atakuwa na maswali kutaka kujua dhamira yako)
Hii inaweza kuonekana rahisi, pia unaweza kufanya hivi kwa kujifanya
unataka kuteka atenshen kutoka kwake. Unaweza kuushika mkono wake
kiulaini kwa sekunde. Fanya hivi kwa muda, itafikia pahali flani atazoea
miguso yako na kuihushisha na furaha ama vitu vinavyompendeza. Baada ya
muda unaweza kutumia maneno flani kama 'nanga' yako.
Kwa mfano, kama amezoea miguso yako na anaonyesha ya kuwa anarespond
vizuri kwayo, anza kuihusisha miguso yako na maneno ambayo unamwambia.
Mfano maneno kama: napendezwa na mazungumzo yako, uko raha nk.
Tena, rahisi zaidi, iwapo umekuwa ukitumia mbinu hii vizuri na mara kwa
mara unaweza kuipeleka popote. Mfano unaweza kumtumia text ama kumpigia
simu kwa kutumia maneno yako ya 'nanga' ambayo ameyazoea na miguso. Huku
kutamfanya kuingiwa na hisia chanya kwako kwa kutumia maneno akiwa
mahali popote pale. Wakati ambapo umebobea kwa kutumia mbinu hii,
unaweza sasa kuhusisha maneno yako ya 'nanga' kwa kumkumbatia, kumkiss,
nk.
Ujanja hapa ni kuanza na mguso laini kwa mkono wake, hakikisha ya kuwa hufanyi mambo yawe magumu. Comment kama una swali.
No comments:
Post a Comment