Nilisoma naye chuo kimoja ( jina kapuni ), rafiki yangu alimpenda sana
huyu msichana, but she was pretending to be in love with another man (
ambaye kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa karibu na
huyu binti, walisha mwagana tangu enzi za pontio wa pilato and its like
he was not existing ). Jamaa kwa kuwa alikuwa anamfeel huyu binti
alienda naye hivyo hivyo kama mshika mapembe hadi tukamaliza chuo mwaka
2008. Binti alikuwa anampeleka sana jamaa, madesa yote yalikuwa
ni wajibu wa jamaa, achilia mbali ishu za kumfanyia takehome tests and
all that...Tumemaliza chuo, binti yupo mjini na jamaa yupo mjini but
msimamo wa binti ulikuwa vilevile kwamba ana mtu wake toka zamani na
wana mipango ya kufunga ndoa, jamaa kapiga sana simu katuma sana meseji
hadi akachoka. Mwaka huo huo (2008) jamaa akapata FULLBRIGHT
SCHOLARSHIP, akiwa marekani akatokea kupendana na dada mmoja chotara wa
kizungu, wamefunga ndoa na sasa hivi wana mtoto mmoja. Kwa sasa jamaa
ana fanya PHD kwenye chuo kimoja marekani ambako anaishi na familia
yake...Mwezi uliopita alikuja kutembea home na kumtambulisha mke wake.
He is no longer talking about that gal. Sasa kinacho nifanya nimshangae
huyu binti, she is now blaming on us, anasema sisi ndo tumemshauri jamaa
aachane naye, mara ooh jamaa alikuwa na maana gani kumtaka yeye
kimapenzi halafu anakuja kuoa mwanamke mwingine!! I told her i dont have
anything to do with that plus nikamuuliza kuhusu the so called mchumba
wake na hakuwa na majibu yenye kueleweka but mwisho wa siku amejutia
sana mambo yote aliyo mfanyia jamaa, alijaribu kumuomba msamaha, jamaa
kamwambia yeye hana tatizo nae ila kuhusu uhusiano ndo hivyo tena,yeye
tayari ni mume wa mtu. Anafikisha miaka 30 mwaka huu, hana mchumba wala
bf, anauza dawa za GNLD ( U CAN SEE HOW DESPERATE SHE IS ). ....
KWENU MABINTI: Zile zama za SITAKI NATAKA , zimekwisha pitwa na wakati, do not pretend to be in love with someone else wakati unajua kabisa katika nafsi yako kwamba upo singo na unahitaji mwanaume..Kumbania mwanaume kwa muda mrefu hakuwezi kuongeza thamani yako hata kidogo
KWENU MABINTI: Zile zama za SITAKI NATAKA , zimekwisha pitwa na wakati, do not pretend to be in love with someone else wakati unajua kabisa katika nafsi yako kwamba upo singo na unahitaji mwanaume..Kumbania mwanaume kwa muda mrefu hakuwezi kuongeza thamani yako hata kidogo
No comments:
Post a Comment