Wataalamu
wa sayansi ya mapenzi wamegundua kuwa ni asilimia kati ya 20-22 ya
wanawake wanaoweza kufika kileleni kwa kuingiliwa kwa njia ya
kawaisa(kulenga kwenye tundu la uzazi peke yake) jambo ambalo linaweza
kumfanya mke apate mimba lakini aipate raha ya tendo la ndoa.Idadi hii
ni ndogo ya wanawake wafikao kileleni inasikitisha sana na wanaume wengi
hawajui ni kwa nini hali hiyo hutokea japokuwa wanajitahidi kwenda
roundi nyingi au kuchelewa kumaliza.
Sehemu kubwa ya ambayo mwanaume anapaswa kufanya ni kushugulikia kisimi au(kinembe) kilichopo sehemu ya juu kabisa ya mpasuko wa uke.Ili uweze kumfikisha mke kileleni ni muhimu unapomwingilia jisukume kwa mbele kwa makusudi ili sehemu ya uume wako iwe inasugua eneo hilo la kisimi,fanya hivyo taratibu wakati wa kuingia na kutoa uume wako,na utamsikia mkeo akitoa sauti za raha kwa kadri unavyoendeleza mgusano wa sehemu ya mbele ya uume wako na kiimi chake.

No comments:
Post a Comment