Ukitaka kuondoa chunusi usoni na kusafisha uso usiwena madoa kwa kiasili, njia zifuatazo zaweza sana kusaidia.
Tafuta ukwaju loweka katika maji ukishalainikachanganya na asali, paka usoni.
Ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilikakwa kipindi kifupi.
Kama utashindwa kupata vitu hivyo tafuta sabuni pamojana krimu yenye mchanganyiko wa asali na ukwaju.
Sabuni
hiyo iko katika boksi kubwa na kwa ndani inakigunia ambacho kinasaidia
kusaficha uso, usinunue sabuni ya ukwaju na asali ambayo haijafungwa
kwenye kitambaa kigumu chenye rangi ya kahawia itakuwa ni feki na
haitakusaidia.
Kama unataka kupunguza tumbo au mwili kwa ujumla.Asubuhi kunywa chai nzito, mchana kula chakula kilichokamilika.
Ila usiku kula matunda tu ili uweze kuupa mwili nafasi ya kujitengeneza na hasa kupunguza mfuta yaliyozidi mwilini.
Uwe
unakula wakati unasikia njaa tu unapokula bila yakusikia njaa unakuwa
unarundika tu chakula mwilini na baadaye chakula hicho hubadilika na
kuwa mafuta ambayo
hutengeneza manyama uzembe.
Ukishindwa hivyo nenda kwa daktari iliakupe masharti ya vyakula na uweze kupunguza mwili
No comments:
Post a Comment