Hata
maandiko matakatifu yameandikwa mwanaume utahangaika juani ili umlishe
mkeo na mwanamke atazaa kwa uchungu, sasa imekua siku hizi wanaume
kumhudumia mwanamke imekua ni kulia lia sana mwanaume wa ukweli
anatakiwa ajue mpenzi wake au mke anamhudumia vipi.
Hivi mnadhani nyie wavulana unakua hujaoa una mpenzi tu unataka aishi
vipi unakuta unatoa vielfu 50 unalalamkika mpaka povu linakutoka unataka
kumiliki msichana mrembo mzuri huku unatoa kihamsini unalalamika sana
starehe gharama ukiona vyapendeza ujue vimegharamiwa.
Ebu kueni wastaarabu basi kutwa kulia lia humu JF, mnawadhalilisha sana
kina dada anakuja kwako kajigharamia mwenyewe mapouda nini unamgaragaza
unamtindua wewe ukimpa kihamsini unalalamikaaaaaa sasa unatakaje?
Acheni hizo basi ukimtoa out akija na rafiki yake wakinywa savana tu mnalia sasa mnataka wanywe viroba? Au safari?
No comments:
Post a Comment