Aunt mm ni msichana mwenye umri wa
miaka 27,nimeolewa na nina mtoto 1,nina matatizo 2 ambayo yanaisumbua
akili yangu,tatizo la kwanza
1)niliolewa miaka 5 iliyopita,siku ya
ndoa nilikaa na mume wng siku 3 akasafiri kwenda uk kutafuta maisha kwa
bahati nzuri nilishika mimba ndani ya siku 3 hizo,so nikaa peke yng na
bila yakuuingiliwa mpk kujifungua,kwa bahati mume wangu akarudi tz baada
ya mtoto wetu kua na mwaka 1 na nusu,hiyo ikawa mara yangu ya 2
kuingiliwa coz aliniowa na bikra na niliamua kujitunza pia katika ndoa
yng,lkn tatizo likaja alipokua akiniingia alikua akinambia natowa maji
sana chini so hajiskii raha ya kusex,nilipooanda vile nikenda kwa
gynocologist km wawili hivi tofauti tofauti ili wanianglie km nina
tatizo kwa bahati nzuri wote wakanambia nipo ok sina tatizo kama
wanawake wenzaangu,yaani nipo normal.
Baada ya hapo mume wangu akasafiri tena
mpk hii leo mwaka wa 3 tena sijaonana nae kimwili wala mwanamme yoyote
yule na yote kwa kujituliza na kujiheshimu katika ndoa yangu,juzi juzi
km miezi 2 hivi nimepata tatizo jengine ambalo nina ukosefu wakupata
choo kikubwa so nikenda chooni nikijikamuua kidogo 2 napata maumivu
makali kuanzia anus mpk kwenye virgina,ss aunt naomba ushauri wako
katika matatizo yng haya 2?na pia sijawahi kuingiliwa kinyume na
maumbile.
No comments:
Post a Comment