
PICHANI NI MWANAMAMA Mikel Ruffinelli AKIWA
KATIKA POZI TOFAUTI, asema ajivunia kuwa na Hips Za Hasili , Hips Zake
Zenye Ukubwa Wa Size 30 huwa Anaingiza Wastani Wa dollar 1000 kwa kila
picha anayopigwa kwenye Mitandao tofauti ya Urembo,..Pia Mrembo Huyo
Mikel Anapendelea Kuendesha Magari Makubwa Maarufu kama MaTruck Kwani
Anahisi ndio anakuwa Anajinafasi zaidi, Huwa Anakalia Viti Vyenye
Material Ya Chuma Na Kitanda chake kinakadiriwa kuwa na Urefu Na upana
Wa Futi 7, Shabiki Wake Mkubwa Wa Mikel Ni Mume Wake Reggie Brooks Mwenye Miaka 40 ambaye ni Mtaalamu wa Mambo ya Computer
No comments:
Post a Comment