Kama inavyoeleweka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So,
katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la "Tantric Sex."
Kama inavyoelewaka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu.
So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la “Tantric Sex.” As if
hii duinia, especially hii century haiko overloaded na information
kuhusu mambo ya mapenzi, jinsi ya kufanya mapenzi and whats hot in the
bedroom, whats in and whats not.
So, lately nimeona a lot of tzmoms readers wamekuwa wakitembelea sana na
kusoma page ya “mapenzi baada ya ujauzito” na “kufanyamapenzi wakati wa
ujauzito.” And I thought well, writing about Tantric Sex will be
nyongeza kwa kila mmoja, aliye mama na mbaye bado damu inachemka katika
mambo ya mapenzi.
Anyhu, kama “SEX/MAPENZI” yangekuwa yanaweza kuyu-nite the world/countries/makabila/people I think hii fani ingeshinda.
Well, so kama umeshawahi kujifungua ama kama wewe ni mama, you
definitely understand ni jinsi gani ni vigumu kuwa upbeat kuhusu mapenzi
ama kumfurahisha mumeo/mpenzio everyday. Well, once in a while maybe
but not everyday. Ila kama we ni mdada/binti ambaye hujazaa bado well,
damu yako bado inachemka so energy bado ipo nyingi ya kukurupushana na
mpenzio.
Having said that, si maanishi mtu ukishazaa ndo fani ya kuenjoy mapenzi
imekwisha but nguvu zinapungua for sure however, kuna vitu vingi tuu
ambavyo vinaweza kusaidia kuleta nguvu ya kutaka kukurupushana chumbani
lol.
Kukosa nguvu/energy to wanna work it all the time its not because
mwanamke ni mvivu but hutokana na kuwa na mambo mengi sana ya kutend
nyumbani i.e. kuhakikisha watoto wako taken care of, labda kazini pia
unahitajika, etc una kuta hupati muda wa kujifurahisha mwenyewe ama na
mpenzi wako.
Therefore, mara nyingi before you know mupenzi anaanza kulalamika or
hata mwanamke mwenyewe unaweza kufeel like you are not doing enough so
mambo ndo hivyo yanaanza kwenda south chumbani.
Hivyo basi, lets dig in tuone Tantric Sex inatoa msaada wa aina gani ili
kurevamp mapenzi. Kwanza kabisa, FYI tantric sex can be weird at the
beginning ila nitajitahidi kutoingia so indepth ili kusave miyoyo ya
watu wengine. Kwamaana hii ni soft porn “according to me.” Lol. so
usishtuke ama kushangaa sana. Well, anythign “sex” can be unconfortable
anyways. Okay, so, kwanza kabisa, with Tantric Sex, mtu na mpenziwe
wanatakiwa kuwa;
SPIRITUALLY CONNECTED (usishtuke sio kidini lol).. Hii inamaainisha
kwamba wewe na patner wako kwa pamoja mnajua mnataka nini emotionally
and physically. Kwa kufanya hivi inasaidia kuwafanya kwa pamoja kuwa
“FREE” na kuondoa wasiwasi wa labda mwenzangu atanijudge kwamba labda
mimi ni malaya ama fuska etc. In other words hii process inaitwa
“Dropping the Veil, between “Self” and “Other/patner.”
THE ENVIRONMENT/mazingira. Wakati mnapractice tantric sex of course,
just like when you are in the bedroom unaweza ukavaa lingerie/kuo za
ndani zinazovutia or “kuwa kama mlivyotoka tumboni mwa mama zenu” (you
know what i mean).
Tatu, wapenzi wanaanza kupapasana lol, but in a way kwamba you are
feeling the energy of the other person. Na hii energy unaweza kuifeel
kwasababu mko free hamna anayemjudge mwingine/there are no worries. You
are just in your own created world.
Nne, wakati wa kufeel energy ya mwingine lazima wapenzi wawe wana pumua
heavely yaani just feeling every move made but the other person mpaka
mnapofikia mahali were you are breathing so hard and you are feeling
each other.
then you start kissing the lips, and then deeper for minutes even hours.
Then mengineyo yanaweza kuendelea.
So, all this time kumbuka its not about going straight into sex with
your partner rather its about getting high by touching and feeling
connected with each other. hivyo basi, once in a while take that time
and revamp your intimacy, dress good, feel sexy and heey have fun!!.
By tzmoms
No comments:
Post a Comment