Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Tuesday, June 27, 2017

MWANAMKE ANAHITAJI MAMBO HAYA

MWANAMKE Anahitaji malezi makubwa sana ya kuthaminiwa zaidi ya yai.

1. JITAHIDI KUMPENDA.

2. KUMUHESHIMU

3. KUMBEMBELEZA.

4. KUMJALI.

5. KUMSIKILIZA.

6. KUMUELEWA.

7. KUMSAMEHE MAKOSA YAKE NA KUMFANYA AWE PEKEE DUNIA NZIMA.

Hii ndiyo limbwata la mwanamke na hapo la la la laaaaa atakupenda ile mbaya labda awe na pepo lake tu la ngono ambalo hata kwa maombi ya maelfu ya wachungaji, manabii na mitume haliwezi kutoka, lakini........

No comments:

Post a Comment