Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya
tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama
ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa
muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo
kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER
ERECTION
JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu
iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa
mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya
uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa
hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka
na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka,
huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na
hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea
kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na
mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu
iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine
za mwili.
N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo
ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine
za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya
mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya
uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA
UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO
LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya
vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa
ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. .
Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka
kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili.
Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe
imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye
uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena
kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu
yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka
sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na
utasinyaa mara moja.
JINSI UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume
Jinsi Uume unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari.
Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama.
Mwanaume unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa
ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa
mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya
uume ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo
makuu mawili;
i. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na
hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya
uume
( Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza
damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya,
damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza
kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )
ii. Pili huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia
kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu
nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama
kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa
ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine,
kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu
kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Kadri damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na kukakamaa.
Na kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo
uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda
mrefu.
Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume inarudi
katika hali yake ya kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa
ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu
katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo
za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida (
Flaccid ).
Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu
katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama
imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima
mambo yafuatayo yawepo.
1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
3. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4. Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya
kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja
na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima
mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila
hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za
kiume.
No comments:
Post a Comment