Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa tendo) kati ya
dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu
sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa
“ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.
Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya
mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 3
waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu
wa tendo la ndoa.
Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa
kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila
wanapofanya mapenzi/tendo la ndoa (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa
moja hivyo Mwanaume hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na
ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi anaweza ukaondoka na goli 3 ktk
mzunguuko mmoja.
Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine
wasijue hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na
ule wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu
ambao ni wa kisimini.
Sehemu pekee ambayo itakufanya wewe mwanamke ufike kileleni kwa haraka
ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi chako. Kuna wanaume ambao ni
“wajanja” na hawaoni tabu kutumia ndimi zao kuwaridhisha wapenzi wao,
wengine hutumia vidole na wengi hutumia uume wao.
Ndugu zangu!
Lakini ngoja nikuambie, fanya yote lakini kama unaweza kutumia ulimi ni
mwisho wa mambo ikiwa ulimi huo utachezea kisimi katka mitindo ya a-z,
mzunguuko, #8, pembe 2 pembe. Sio wajilambia kama “ice cream”, anatakiwa
kutumia ncha ya ulimi kulamba na midomo ya nje + ulimi kukinyonya
kisimi.
No comments:
Post a Comment