Bongo Deco Electronics ni duka linalouza vifaa mbalimbali vya umeme kwa ajili ya kutumiaka majumbani. Baadhi ya vifaa tunavyouza ni kama Friji, Tv, majiko ya gesi, AC, Majenereta na vifaa vingine vingi kwa bei poa.
Kuanzia siku ya leo 03/07/2017 tumeanzisha huduma mpya ya watu kulipia kidogo kidogo, hii ni kutokana na hali ya uchumi ilivyo kwa sasa. So mteja kama hatakua na uwezo wa kulipia cash anaruhusiwa kulipia 50% ya thamani ya bidhaa kwanza halafu atakua na siku 60 za kumalizia kiasi kilichobakia na atapatiwa bidhaa yake baada yakumaliza.
Bidhaa zetu zote ni Original na zina warranty, kikiharibika tunakuletea fundi mpaka nyumbani anakurekeishia. Kwa kila mteja wa DAR atakaenununua bidhaa zetu tunampelekea bidhaa aliyonunua BUREE mpaka nyumbani kwake na kwa wale wa mkoani utaratibu ni kama ufuatao
Zifuatazo ni baadhi ya bidhaa tunazouza katika duka letu lilipo Magomeni Mapipa mtaa wa Idrissa karibu kabisa na Butiama Restaurant. Kuona bidhaa nyingine tembelea ukrasa wetu wa Instagram unaitwa @bongodecoKuanzia siku ya leo 03/07/2017 tumeanzisha huduma mpya ya watu kulipia kidogo kidogo, hii ni kutokana na hali ya uchumi ilivyo kwa sasa. So mteja kama hatakua na uwezo wa kulipia cash anaruhusiwa kulipia 50% ya thamani ya bidhaa kwanza halafu atakua na siku 60 za kumalizia kiasi kilichobakia na atapatiwa bidhaa yake baada yakumaliza.
Bidhaa zetu zote ni Original na zina warranty, kikiharibika tunakuletea fundi mpaka nyumbani anakurekeishia. Kwa kila mteja wa DAR atakaenununua bidhaa zetu tunampelekea bidhaa aliyonunua BUREE mpaka nyumbani kwake na kwa wale wa mkoani utaratibu ni kama ufuatao
- Agharamikie gharama za usafirishaji kutoka Dar haidi mkoa aliopo, ambapo hapa sisi ndio tutamtafutia usafiri wa bidhaa husika.
- atume hela kwa ndugu au jamaa aliyepo Dar ili aje kuja kuchukua bidhaa husika halafu mteja na ndugu au jamaa yake watajua wanatumia usafiri gani kwenda mkoani.
![]() |
| Boss Freezer mpya kwa 780,000 tu |
| ||
| Boss Freezer mpya kwa 900,000 |
![]() |
| Boss Freezer mpya kwa 650,000 tu |
![]() |
| LG LED TV's (Sio smart) 24inch - 380,000 32inch - 550,000 43inch - 950,000 49inch - 1,350,000 |
![]() |
| BOSS LED TV + FREE TV GUARD LED 24"@ 330,000 LED 32"@ 500,000 BOSS LED SMART TV 43" @ 770,000 49"@ 880,000 55"@ 1,200,000 65"@ 2,150,000 |
![]() |
| STAR X LED TV's 32inch - 450,000 (zmeisha) 43inch - 720,000 55inch (4K) - 1,650,000 . ......... PANASONIC LED TV 32" @ 500,000 43" @ 850,000 . ......... PHILIPS LED TV 32"@ 480,000 |










No comments:
Post a Comment