Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Thursday, August 31, 2017

Hii Ndio Saizi Ya Uume Inayopendwa Zaidi Na Wanawake Wengi .. Hii ni kwa Wanaume tu!!!!!!!!!!!!



Wanawake wengi na wanaume pia hudhani mwanaume mwenye uume mkubwa ndio anayeweza kumridhisha mwanamke katika swala la mapenzi. Katika siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakijiuliza ni size gani ya kifaa kinachotakiwa kufanyia mambo yetu yale....
Kumekuwa na fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume,wanapoamka asubuhi kitu cha kwa kwanza ni kufikiri namna gani wataweza kuwavutia wasichana, na namna gani ya kuweza kuwavutia wanaume kwa upande wa wasichana.Hapo ndipo suala la Kukuza Makalio,Matiti Na Uume linapochukua nafasi yake,huku yote hayo YAKIIGWA kutoka katika mikanda ya NGONO
Tukizungumzia swala hili kutoka katika makampuni ya mikanda ya NGONO,Wao wanadai kuwa mwanaume lazima awe na ukubwa kiasi flani ili aweze kuwa bora zaidi kwa mpenzi wake,na hapo ndipo uanaume wake unaweza kukamilika 
Kitu Cha Msingi Ni Hiki Hapo Chini
Kama tu vilivyo vidole vyako,vina urefu tofauti lakini vyote vinafanya kazi moja bila ya kujisikia kuwa kidole flani ni bora kuliko chenzake.Kwa mujibu wa doktari pia mchungaji Olamide Craig yeye anadai kuwa "mwanaume sio lazima awe na size kubwa ya uume ili kumridhisha mpenzi,kitu cha msingi ni kujua mpenzi wako anataka nini na kwa namna gani waweza kufanya ili mpenzi wako aridhike{AKOJOE}"
Usidanganyike kuwa ukubwa wa uume ndo humridhisha mwanamke kwani wazee walisema "Ukubwa Wa Pua Sio Wingi Wa Kamasi"
Pia acha kufuata mambo ya mikanda ya ngono kwani wao wapo kazini na huwa hawafanyi hivyo wanapo kuwa kiromantiki zaidi

Share This Post Below

No comments:

Post a Comment