Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Thursday, August 10, 2017

HIZI HAPA MESEJI TAMU ZA MAHABA ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO



hakiyanani mpz unanidatisha ukitembea unatingisha,
mwenzio unanipagawisha kwako nimefika
na hii namaanisha nakupenda
......................
kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha,
nikoradhi mbivu zako kuzikosa,
kuliko kuendelea kujitesa,kumbuka nilikupenda
......................
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia ...

No comments:

Post a Comment