Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Friday, August 11, 2017

JINSI YA WANANDOA KUFANYA MAPENZI NA MKE WAKE WAKATI WA UJAUZITO.



BILA shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao wawe wanasarakasi yaani wawe wepesi wa viungo.


Leo nitazungumzia staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa na panapomajariwa nitazungumzia staili nyingine ambazo kila mmoja wetu anaweza kutumia katika majambozi kumpagawisha mwenza wake.


Kuinama: Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia ama kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukumatumbo lake.




Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni lazima mwanaume asiwe mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni moja kati ya sehemu kuu ya mwanamke inayoamsha hamasa ya mapenzi na msisimko wa ajabu unaompelekea mwanamke yoyote yule kufika kileleni !.



Hivyo, mwanaume hapa lazima ahakikishe anatumia mkono wake kumshikashika mpenzi wake kinena ili kumhamasisha kimahaba, lakini wakati anamshika mwanamke sehemu hiyo lazima ahakikishe vidole vyake si vikavu kwani endapo vitakakuwa havina unyevunyevu basi lazima mwanamke ataumia mara baada ya kupapaswa navyo katika kinena kwani kinena kimefunikwa na ngozi laini hivyo mwanaume anapaswa kuhakikishwa vidole vyake haviwi vikavu ili kumwezesha kuaamsha hamasa yake ya mapenzi.




Kukaa: Mwanaume anakaa kwenye kiti kisha mwanamke anakaa kwenye mapaja yake, hapa uume wa mwanamke hautaweza kuingia wote hali itakayomfanya mjamzito asiumie na mjamzito mwenye mimba ya miezi 8 hufurahia zaidi staili hii kwani ikumbukwe kuwa katika kipindi hiki mtoto huwa tayari ameshuka, mwanamke huonekana kuchoka na kuelemewa na tumbo.



Hivyo kwa kuwa mtoto huwa ameshuka mwanamke husikia maumivu sana pindi mwanaume anapotumia staili Fulani Fulani ambazo humpa nafasi ya kuingizauume wake wote kwani motto huwa ameshuka hali inayopelekeakusukumwa na uume wa mwanaume pindi unapoingizwa na hivyo kumsababishia mwanamke maumivu.




MUHIMU:
Ni kweli katika kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujisikia kuchokachoka sana hali inayowafanya wasipende kushiriki tendo la ndoa, lakini hali huwa tofauti kwa wanaume wengi pindi wapenzi wao wawapo wajawazito kwani ni kipindi ambacho mwanaume hufurahia sana kushiriki tendo la ndoa na mjamzito kutokana na ukweli kuwa katika kipindi hiki mwanamke huwa na joto lakutosha sehemu zake za siri, joto ambalo humfanya mwanaume apagawe.




Hivyo mjamzito anapaswa kuhakikisha anafanya kila analoweza kumpa mwenza wake unyumba isipokuwa tu endapo atakuwa ameshauriwa na daktari kutoshiriki tendo la ndoa kwa sababu za kitaalam !

No comments:

Post a Comment