Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni mashalaaah sasa bwana kazua zogo kuwa.
Kabila lao yaani wahaya ndio linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa. Mwingine anasema wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuwa na makalio makubwa mwingine anasema ndugu zetu wachaga.
Mmoja anasema kuwa wangoni ndio wa kwanza sababu wao wana genes za africa kusini ambapo huko nidio chimbuko la makalio makubwa
Mwingine anasema watu wa tanga.
Sasa nikasema ngoja niwashirikishe wenzangu wa janii forums Huu ubishi then tutapata jibu hapa so ndugu zangu naomba majibiu yenu.
C.T.U
No comments:
Post a Comment